Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Shukrani mkuu...theory tumeshaimeza wacha tukafanye practical....
hata kwa modem?
Aise hebu tupatie na ya modem..coz sometimes inasumbua sana...
ntajaribu kufanya uchunguzi wa modem nione kama naweza kulipatia ufumbuzi ila itakuwa ngumu sana cuz mm ctumii internet za modem
hata kwa modem?
kumbe unajua kiswahili? haya na sisi tusiojua hicho kizungu tutafsirie. au ndo mambo ya copy and paste?
dah viini macho inaongeza maandishi but real speed haiongezeki download time is the same
Mkuu Young- Master Nimefanya kama ulivyosema na nime Restart Computer yangu imetokea Speed yangu Speed maximum 10 Mbps ona hii video yangu chini<span style="color: rgb(51, 51, 51); font-family: arial, sans-serif; line-height: 18px; text-align: left; background-color: rgb(235, 235, 235); ">
Sasa katika kuitumia hii SG TCP OPTIMIZER inatakiwa kila wakati iwe hapo kwenye Desktop? au wawewza kuifunga na ikafanya kazi?
Asante Mkuu Young-Master Ubarikiwe.

Hellow JF members. Today am going to teach you how to boost you internet speed to the maximum. I heard so many people suffering for having slow internet in spite of having a large amount of bandwidth. For those people who were having this kind of problem like MziziMkavu i think this is your solution it will boost your internet to 100% but it cannot exceed you bandwidth cap. In order to do this you will have to optimize your internet connection. There are different ways to do this but the far and the easiest is to run TCP/IP optimizer
This worked for me perfectly fine. I have 3 Mbps of internet connection. Before doing this i was getting a connection speed of about 1.83 Mbps - 2.87 Mbps but after doing this am getting connection speed of 3Mbps - 5 Mbps. It worked for me i hope it will for you too. Enjoy
- Download http://www.connectedinternet.co.uk/wp-content/uploads/2005/12/TCPOptimizer.exe?6dc32e and run it
- Click the general settings tab and select your connection speed (Kbps) Make you select your connection speed exactly as you were assigned by your ISP.
- Click on network adapter and select the network interface card you use to connect to the internet
- Select optimal settings and click apply
- Reboot
Prepared by:
Young Master