1: kujitoa katika baadhi ya matukio yasiyo ya faida Kama kanisani, misibani na ndoa za kawaida. Yaani ufanye Bure Ili uonekane.
2: Connection na watu mbalimbali ambo huwa kwenye kamati za maandalizi Ili upendekezwe.
3: Mtaji, hakikisha una Mtaji wa kujiweka nadhifu hasa mavazi( suti) ya kutosha. Sio Kila sherehe nguo zile zile.
4: Ubunifu, lazima kuwa na vitu vipya Kila tukio sio misemo na mifano inakua Ile Ile na style Ile Ile. Usitabirike na hakikisha unacheza vizuri na hadhira yaani iwe active muda wote hata Kwa vichekesho na vionjo.
5: Nidhamu na kuzingatia maadili. Hakikisha skendo za kipuuzi puuzi hufungamani nazo. Vile vil kuheshimu watu wanaokuzunguka bila kujali kipato, elimu, wadhifa na muonekano.