How To Activate Night Mode In Any Android

How To Activate Night Mode In Any Android

Chaz Lee

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
590
Reaction score
495
Wakuu Mambo vp?
Kwanza kabisa heri ya mwaka mpya!!

Kabla ya kwenda kula bata naomba tuelekezane hapa namna ya kufanya apps zote ziwe katika dark mode, naamini kuna wataalamu hapa wa kutosha.

Dark mode inasave battery life vile vile haiumizi macho sana, kwa sisi wenye matatizo ya macho..

Thanks in advance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna baadhi ya Simu hiyo option inakuwepo kwenye Simu nyingine ni mpaka udownload
 
17 - 1 (1).png
IMG_20171013_131102.jpg
IMG_20171013_131042.jpg

Hatua ya kwanza uta scroll down App notification bar, kisha utafuata hzo hatua
 
Back
Top Bottom