Wanajamii, Waziri Mkuu wa Italy, Silvio Berlascone amesurvive kura ya no confidence katika bunge la Italy jana, na hivyo kuendelea kushikilia cheo cha Uwaziri Mkuu. Cha ajabu ni kwamba, pamoja na mascandal yote yaliyomkuta yaani: Sex Scandal, Bribing member of judiciary, Immunity legislation, na media manipulation for political propaganda, lakini jogoo huyu bado anaendelea kupeta. Kwa kweli sijui huyu jamaa anasurvive vipi?
Italian Prime Minister Silvio Berlusconi in parliament yesterday (Anawajambisha wapinzani wake jana baada ya kushinda kura ya maoni).
The Italian Prime Minister Silvio Berlusconi with his wife Veronica
<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-comffice ffice" /><o ></o >
<o> </o >
<o></o ><o >The women who have got Berlusconi into trouble include two attractive female MP's from his Forza Italia party
</o>
Joke about the Holocaust
Huyu jamaa namkubali...amepitia zoruba nyingi sana!
Now that is too much guys...the third eye haionyeshwi hivyo...!hiyo picha ya kwanza inamaanisha ile ishara ya freemasons; a single eye in the triangle, kama ambavyo Jay Z na wengineo wamekuwa wakiitumia
Huyu ni Mwanacham mkuu wa lile Kundi la Wachawi wakubwa Duniani Freemason hawawezi kumung'owa katika uongozi huko ITALY.Wanajamii, Waziri Mkuu wa Italy, Silvio Berlascone amesurvive kura ya no confidence katika bunge la Italy jana, na hivyo kuendelea kushikilia cheo cha Uwaziri Mkuu. Cha ajabu ni kwamba, pamoja na mascandal yote yaliyomkuta yaani: Sex Scandal, Bribing member of judiciary, Immunity legislation, na media manipulation for political propaganda, lakini jogoo huyu bado anaendelea kupeta. Kwa kweli sijui huyu jamaa anasurvive vipi?
Italian Prime Minister Silvio Berlusconi in parliament yesterday (Anawajambisha wapinzani wake jana baada ya kushinda kura ya maoni).
The Italian Prime Minister Silvio Berlusconi with his wife Veronica
<!--?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-comffice ffice" /--><o ></o >
<o> </o >
<o></o ><o >The women who have got Berlusconi into trouble include two attractive female MP's from his Forza Italia party</o >
Joke about the Holocaust