m_kishuri
JF-Expert Member
- Jan 27, 2010
- 1,485
- 372
Wanajamii, Waziri Mkuu wa Italy, Silvio Berlascone amesurvive kura ya no confidence katika bunge la Italy jana, na hivyo kuendelea kushikilia cheo cha Uwaziri Mkuu. Cha ajabu ni kwamba, pamoja na mascandal yote yaliyomkuta yaani: Sex Scandal, Bribing member of judiciary, Immunity legislation, na media manipulation for political propaganda, lakini jogoo huyu bado anaendelea kupeta. Kwa kweli sijui huyu jamaa anasurvive vipi?
Italian Prime Minister Silvio Berlusconi in parliament yesterday (Anawajambisha wapinzani wake jana baada ya kushinda kura ya maoni).
<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-comfficeffice" /><o></o>
<o>
<o></o><o>The women who have got Berlusconi into trouble include two attractive female MP's from his Forza Italia party
</o>
Joke about the Holocaust