WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
Siyo wanafunzi tu mkuu hadi maprofessor, akishindwa kitu au kufikia lengo au akiona there is no way atafanya kitu alichotarajia anajiachia. Achilia mbalia wanamziki wanajinyonga kila wakati, kuna high rate ya watu wengi sana kujinyonga kutokana na kwamba hakuna loophole za kuiba au kupata pesa haraka haraka bila kuisotea. Mfumo/system ulivyo ni kuwa mtu anayepiga kazi au kufanya kitu kinacholiingizia taifa faida au sifa ya kipekee ndiye mwenye kuweza kuzipata.Jana nilikuwa ninaangalia documentry fulani kuhusu mada hii hii. Moja ya sababu kubwa za maajabu hayo ya maendeleo ya S.Korea ni kuwa wamewekeza katika elimu. Kwa sasa S.Korea ni moja ya nchi zinazoshikilia kiwango cha juu cha elimu bora. Lakini "on the dark side of this education", idadi ya watu wanaojiua/kujinyonga ni ya juu zaidi kuliko nchi yoyote inayoendelea. Shinikizo la kutaka katokeo mazurio na aibu ya kushindwa kufanya vyema kweye masomo inawafanya vijana wa S.Korea wawe wanatumia muda wote kusoma.
Shule rasmi inaanza asubuhi hadi saa 11 jioni, wakitoka hapo moja kwa moja wanakwenda kwenye tuitions hadi saa saba, nane usiku; wengi wao wanalala si zaidi ya masaa manne.
Kutokana na kiwango cha suicides miongoni mwa wanafunzi, serikali imeamua kubadili mfumo wake wa elimu. Sasa watazawadia wale wanaojifurahisha zaidi bila ya kuharibu maendeleo yao ya elimu. serikali imeanxa na kupiga marufuku muda wa tuition mwisho saa nne usiku.
Siyo wanafunzi tu mkuu hadi maprofessor, akishindwa kitu au kufikia lengo au akiona there is no way atafanya kitu alichotarajia anajiachia. Achilia mbalia wanamziki wanajinyonga kila wakati, kuna high rate ya watu wengi sana kujinyonga kutokana na kwamba hakuna loophole za kuiba au kupata pesa haraka haraka bila kuisotea. Mfumo/system ulivyo ni kuwa mtu anayepiga kazi au kufanya kitu kinacholiingizia taifa faida au sifa ya kipekee ndiye mwenye kuweza kuzipata.
isiwe chini ya ccm, hakuna maendeleo duniani bila Elimu bora.Halafu blueprint ya maendeleo haya ilifanyika wakati nchi ikiwa chini ya military dictatorship. Hili ni jibu tosha kwa wale wanaosema kuwa nchi haiwezi kupiga hatua za maendeleo pasipokuwepo utawala wa kidemocrasia.
isiwe chini ya ccm, hakuna maendeleo duniani bila Elimu bora.Halafu blueprint ya maendeleo haya ilifanyika wakati nchi ikiwa chini ya military dictatorship. Hili ni jibu tosha kwa wale wanaosema kuwa nchi haiwezi kupiga hatua za maendeleo pasipokuwepo utawala wa kidemocrasia.
There is always a price to pay.
Mkuu tunaofahamu haya mambo ndio maana tunalia tunapoona watu wanapotosha mambo kwa makusudi kwa maslahi wanayoyafahamu wao wenyewe ni ya nani.Nimependa mwishoni tu " Despite many criticism about his style of rule, there is no doubt that South Korea would be a very different nation without him"
Watanzania hawataki haya wanataka Democrasia ya Marekani na mijadala ya CNN,
Hiyo ikifanyika wao ndiyo wanaridhika. Wanadhani Marekani na mataifa ya Ulaya yaliendelea tu kwa kupiga soga bungeni na kisiasa.
Watanzania sijui nani katuroga sisi.
Hebu tuanze na nchi ambazo zimepiga maendeleo makubwa ambapo kuna nyakati udikteta ilibidi uingie:
1. China- tokea mwaka 1949 hadi leo ni nchi ya chama kimoja lakini tumona hali yao ya kiuchumi. Huku kulikuwa na ubabe kweli kweli lakini leo ni matajiri kuliko nchi ambazo wanasema wanafuata demokrasia.
2. South Korea- Utawala wa kijeshi toka 1961 hadi 79 lakini ona hali yao ya uchumi leo. Hawa walimfunga hadi raisi wao waliyempindua na hata kupeleka majeshi Vietnam ulitumika ubabe, wengi walipinga.
3. Malaysia- Mahathir Mohamad alitawala kwa zaidi ya miaka 22 tokea mwaka 1981 hadi 2003, tofauti kabisa na demokrasia ya wazungu. Leo Malaysia ni nchi kubwa ya viwanda na uchumi wao unazidi kukua.
4. Urusi- Utawala wa kikomunisti tokea mwaka 1925 hadi 1991 ndiyo umeifanya urusi kuwa na viwanda vikubwa hadi leo. Jehuri yote ya Putin imejengwa na vizazi vilivyopita ambavyo walikuwa madikteta.
5. Ujerumani- Tangu mwaka 1871 hadi 1945 utawala wa Kijerumani umekuwa wa kijeshi na kifalme. Lakini hata wakina Willy Brandit walikuta teknolojia kubwa sana imeachwa na dikteta Hitler pamoja na wanazi wenzake.
6. U.S.A- Baada ya kupata mtikisiko wa kiuchumi wa mwaka 1929-1933 Roosevelt alipewa madaraka makubwa ambayo hata George Washington hajawahi kupewa tangu nchi iundwe. Republicans wakaanza kumuita raisi mfalme (Imperial President) na makakama kuu ya Marekani ilipinga sheria nyingi sana za NEW DEAL hasa mwaka 1936.
Huyu huyu mwandemokrasia akapitisha sheria mwaka 1937 iliyompa nguvu kuchagua majaji kumi na tano wa Supreme Court of America. Hawa ndiyo waliomsaidia kupitisha sheria nyingi za kibabe hata kama mahakama za chini zitapinga, hii inaitwa COURT PACKING. Huyu jamaa alitawala awamu tatu kinyume kabisa na katiba ya Marekani na sidhani kama kuna raisi ataweza tena kufanya hivyo.
Huyu dikteta Roosevelt ndiye amelifanya taifa la Marekani kuwa kubwa hapa duniani, na liwakataze wengine wasijaribu kuiga wao walivyofanya.
Mkuu tunaofahamu haya mambo ndio maana tunalia tunapoona watu wanapotosha mambo kwa makusudi kwa maslahi wanayoyafahamu wao wenyewe ni ya nani.
Wimbo wa demokrasia unalazimishwa kuonekana ni mtamu kwenye masikio ya watu, wakati kuna nyimbo nyingine watu hawajazisikiliza.
Uhuru wenyewe tumeupata kizembe zembe tu,tumekuwa wazembe hatujui hata maana kutafuta vizuri kwa gharama, tumeishia kudhani kwamba tunaweza kupiga hatua pasipo kuvuja jasho la damu kwa namna yoyote ile.
Tena huu haujapasi kuitwa udikteta,anatakiwa aongeze drip tukae sawa.