beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,784
- 2,773
Mkuu Warusi wana submarines zinazo weza ku-ring Merikani West and East Coast undetected, zikavurumisha SALVOS za a deadly thermonuclear tipped Submarine launched CRUISE Missiles, si hilo tu hata formidable Long range Bombers za Kirusi zinaweza kuruka kupitia Northpole na kuvurumisha RAMJET fired Missiles ambazo speed zake ni Hypersonic, hakuna system yoyote duniani inaweza ku-intercept makombora hayo!! Tukija kenye land based ICBMs zilizo hifadhiwa kwenye SILOS zilizo imarishwa kwa tekinolojia ya kipekee,SILOS hizo zina uwezo wa kustahimili first strike ya makombora ya Merikani unscaved - alafu na wao wakajibu mapigo kwa ku-unleash ICBMs zenye multiple warheads ambazo kila moja hiko independently targeted kwenye sehemu/miji muhimu huko Merikani. Historia inaonyesha hakuna Nchi iliwahi kuivamia URUSI na kuishinda, watu wana kawaida ya kudai eti 'General Winter' i.e hali ya hewa ndio kinga ya Warusi!!
Wasomaji wanacho sahau ni kwamba Urusi ndio inashikiria rekodi ya kulipua a thermo Nuclear Bomb yenye payload ya 50Megatonne,walitaka liwe 100Megatonne lakini wanasayansi wa Kirusi wakali-scaredown to a 50MT wakihofia madhara makubwa ambayo yange sababishwa na bomb hilo, mpaka sasa hakuna Taifa lolote Duniani lililo weza kuvunja rekodi hiyo ya KIRUSI - mark you jaribio hilo lilifanyika mwanzoni mwa miaka ya 1960s!!! That was five decades ago - Swali ni je, hivi sasa Warusi wana silaha gani za kutisha, jamaa hawa hawana majigambo lakini wenye akili timamu wanajua katika medani za kivita hasa silaha mahili, basi Warusi ni moto wa kuhotea mbali.
No one will win a nuclear war, get that into your heads people. Kama ni kuchangamsha baraza ili watu wasisinzie sawa lakini nuclear war is a non starter, both US and Russia knows that.
View Chart

