Ha ha ha ha, nimecheka jamani
Mnatuonea sana wa Tandale
hilo nalo neno bibi hasa kwa wale wapashkuna.............
Naona umeyatupia yale maneno yenyewe.
paloma unapitaga mitaa hii nisalimie basi hapa elia complex hahahahahah
Yaani hata alama hakuna! Mmesagia chakula cha kuku tumboni! Lol!
mpashukuna lake neno, mpe umkate ngebe