Ulikuwa umejikunyata kwenye vyumbu ukiwa katika mfumo wa majimajinilikuwa kwenye kende za babaangu
swadaktaaaaUlikuwa umejikunyata kwenye vyumbu ukiwa katika mfumo wa majimaji
MmasaiHii Senti hamsini(50 Cent) si ya juzi juzi tu? Hii si ilikuwa inatumika kwenye miaka ya mwanzoni mwa 90? Sas kina Dayamond nao si wametumia kununulia pipi? Weka zile za wamasai.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Thumni, huyo sungura alikufa kwa kupigwa na radi Sumbawanga
sijawahi itumia, infact mm nimekuta noti ya 200 bas, na sh kumi ulikua na uwezo wakununua mazagazaga, ila hapa nilipo ninayo Hadi senti tano ya 1945 Yani Nina collection yangu ya coin za zamani Hadi ile yenye tundu Kat nnayo.just keeping them huenda Kama sio Mimi bas wanangu ama wajukuu wataziuza Kama rare coins.
Hujajibu swali la mleta madaHii Senti hamsini(50 Cent) si ya juzi juzi tu? Hii si ilikuwa inatumika kwenye miaka ya mwanzoni mwa 90? Sas kina Dayamond nao si wametumia kununulia pipi? Weka zile za wamasai.
Hujajibu swali la mleta mada
Shkamoo nyingi sana mkuuWakati huo senti hamsini zinatumika nilikuwa na 24 yrs mwanzoni mwa miaka ya 90 ,tulikuwa tunachota maji(wanayaita ya mdundiko- Unapump manually kwa kuvuta juu na chini mshikio wa chuma-kulikuwa hakuna motor ) Debe la korie unalipa sent hamsini ila kwasasa dumu la lita 20 tunachota kwa Tsh 100.
Wangeipata alafu usiwape hiyo hela lazima wangekuchoma mshkakiNiliwadanganya wagagagigikoko fulani waitafute nitawalipa milioni mia nne!Walihangaika sana!ππππ
Hahahahaa Marahaba Bushmamy mwanangu.Shkamoo nyingi sana mkuu
Unapokuwa "teepee" unapaswa kuwa unafanya mazoezi ya mbio ndefu.Wangeipata alafu usiwape hiyo hela lazima wangekuchoma mshkaki