How Much of Naked is acceptable?

Ngereja

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
798
332
How much should you be naked?

how much should you show your body naked? the issues of morality, modesty, unclothed, uncontrolled, modesty, sexuality, lust, weak, spirituality,simplicity, onward, functions, evil, ornamental, heart, simplicity and values.
 
Buddy,
Nimeshindwa kufungua hiyo link lkn i will tell you some sort of a story alafu wewe na Wana JF tutaendelea;

I was sitting in the restaulant the other day hapa Bongo,mimi na 'my Mama Ngina wangu'.

Au swali lile linarudi............

How Much of Naked is acceptable?


Nikiwa nimeva kaputula (short) yangu sina wasiwasi on the next table sat two whitemen and a Tz folk wanaongelea mambo yao lkn kwa bahati mbaya i was easy dropping mazungumzo yao kwani i realized one fellow pale btn the whites was a blind man and was corious to know how Africans are dressing these days!
Because from what heard yule kipofu akimwambia yule Mtz kwamba alisikia siku hizi waAfrika wanavaa manguo mengi sana mwili kuliko ilivyo kua huko nyuma!
Yule bwana huku akichezea simu yake bila ya kuniaangalia mimi wala watu walio kua karibu yake akasema "Eeh we are civilazed now,we have to wear good clothes just like whites"
Yule kipofu akajibu lkn si "it suppose to be hot in this continent esp.here in TZ,and though i guess am in a Air condition room i can feel the weather!?
The guy now geting more serious say looking up from the handset he was playing with,"Ah!unajua,mambo si hivyo unavyo jua,huwezi mtu mzima ukavaa kaputula au non-sleeve shart kwa kisingizio cha weather alafu sio UTAMADUNI WETU!
By that moment akagongana uso kwa uso na mimi akangalia nilivyo vaa just like what he has said can not be dressed,mie nikatoa macho yangu kwake nikayapeleka kwa yule mzungu kipofu na mwenzie kama kumuelekeza na yy aangalie hao jamaa zake walivyo vaa,jamaa akageuka kuangalia na hakunitazama tena mpaka mimi ninaondoka pale baada ya kula.

Sasa mie nataka kujua tunavaa kwa ajiri ya utaaduni au hari ya hewa au utuuzima au heshima!?
 
Sanda,
Kama umeshindwa kufungua, unaweza pia kuiteremsha(download) kutoka hapa www.pmchurch.tv, kuna MP4 na WMV format. Utahitaji masafa mapana (broadband network) kwa sababu ina karibu 140MB. Ni nzuri kuisikiliza.
 
Sanda na wana JF,

Kama umeshindwa kufungua link, unaweza pia kuiteremsha (download) kwenye PC yako kutoka hapa www.pmchurch.tv. Untatakiwa kuwa na masafa mapana (broadband connection) kwani ina karibu 140MB. Kuna MP4 na WMV format.
 
Mimi ni mkristo, sijui wewe. ninA amini tunava kwa ajili ya kujisetiri. Namna gani unajisetiri kwa kuvaa au kujipamba nadhani ndo hoja inatakiwa kujadiliwa.Lakini pia unavaa kwa namna unayovaa, vyovyote vile kwa madhumuni gani? kuna mambo mengi ambayo sisi binadamu hufikiria kabla ya kufanya jambo lolote. Yawezekana sijajibu, swali lako. Napenda umsikilize kwanza huyu senior pastor. Hiyo video unaweza pia kuiteremsha kutoka hapa;
www.pmchurch.tv.
unahitaji kuwa na masafa mapana (broadband) maan ina karibu 140MB
 
Mimi nafikiri the rule of the thumb is this; kama ni dada.. you wear as much in public that your man desires you, but as little as that which makes your dad look at you; and as comfortable as that which makes you feel desired and respected!

Kwa vijana; as much as that which makes your mom say "that is my boy"!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom