how many years????

onetime

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
331
Reaction score
234
ok! hebu tuone member gani ana umri mkubwa zaid ndani ya jf tangu ajiunge, me ndo kwanza nna ka-mwaka kamoja
 
mi nima zaid ya miaka2 sema nilisha badilisha id
 
Nilijiunga kipindi cha vita kuu ya pili ya dunia....
 
mmh! wkt huo si bado ulikuwa kwenye zip
 
Hivi fuvu la binadamu wa kale "zinja" aka "zinjathtopus" lililo gundulika kule olduvai gorge ilikuwa ni mwaka gani???
 
Mimi nilijiunga ule mwaka kulikuwa na mvua nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…