Heaven Sent na Khantwe zamani pale Jolly club kuna wimbo ulikuwa unapigwa na live band moja kila ijumaa nilikuwa naupenda sana ulikuwa unaimba hivi
Itakuwaje kutupenda wawili
Hali najua una moyo mmoja
Najua utadanganya mmoja
Kama yeye kama mimi sijui.....
Teh teh yan wewe ndo wa kunichimba biti kiasi hicho??
Heaven Sent na Khantwe zamani pale Jolly club kuna wimbo ulikuwa unapigwa na live band moja kila ijumaa nilikuwa naupenda sana ulikuwa unaimba hivi
Itakuwaje kutupenda wawili
Hali najua una moyo mmoja
Najua utadanganya mmoja
Kama yeye kama mimi sijui.....
Baby ni wimbo tu
Me naomba tu useme ukweli leo
ila hapo nimeng'ata meno kiume eeeti sio mchezo
Njoo nikukaze kifuani huku tukisiliza huo wimbo ndo utaamini ni wimbo tu
Aaaah hayo yatafata baada ya wewe kukiri nani ni baby wako. Na kukuonesha tu kuwa nipo serious, chumba nimeshahama na huduma zote kutoka kwangu nimezisitisha until further notice.
Awww thats my darlin. Baby nimerudi chumbani kwetu eeeh na huduma zangu kwako zimeboreshwa mara kumi zaidi
Zilipendwa bi mkubwa Khantwe nafikiri muarobaini utakuwa tiba yako kwa mshtuko wa usiku huu.
Apia....
Ulishawahi kuona mtu penzi jipya linamchanganya anatukana hadi mzazi...bas ndo huyu