Sema amen kama una ujasiri
Mkuu mi nipo hapa nishafika
Mxxxxiiiiuuuuu.....
Hahahahaha basi hapo bichwa hilooooo. Tulikuwa tunakuenjoy tu na baby, na unavyompenda sasa kama nakuona unavyopiga mazoezi ya skelewu huhuhuhuhuhu usivunje tu miguu bi mkubwa
Hahahaaa we chonga tu...awali ni awali hakuna awali mbovu