Mungu wangu! Umenikumbusha jinsi wamama wa kibosho wanavyotembea na mizigo ya ndizi na maparachichi toka kibosho kwenda kuuza moshi mjini.
Wamama wote shikamooni!
mama yangu ni shujaa wa mashujaa alituzaa MAPACHA 4 Mara mbili akawa nawatoto 8 kwa kipindi cha miaka 2 kwangu ni shujaa wa aina yake.Ahsante mama wa nne
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.