Duh........hii ni njia ya wazinzi kuhalalisha wayafanyayo, notion hii imetumbukiza vijana wengi sana uovuni kwa kjua or kutokujua wakifikiri ndio njia sahihi ya kupata the so called "experience" of Love. Watu wanaingia kwa ndoa na mengi machafu na masafi wanashindwa kutulia wakiendelea kudhani kuna kilicho bora - Hawaridhiki!!
The Experience of Love is Love itself, be good, be systematic, be descent, have Love and Enjoy Life