Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Kama kweli URUSI imehusika ni aibu kwao,ila sina imani na taarifa za Marekani dhidi ya URUSI.
Mkuu, Putin ni kiongozi makini sana hawezi kuhamuru wanajeshi wake au wanamgambo kushambulia ndege ya kiraia - huu utakuwa ni mpango wa Western Countries kutaka kutafuta sababu za kuiwekea vikwazo zaidi URUSI ili waitenge zaidi, ukijaribu kusoma media za Ulaya na Merikani mtu unagunduwa kuna bias kubwa katika ku-ripoti taarifa hii kwenye media zao. Hata mtoto mdogo anajua URUSI has nothing to gain kwa kujipalilia mkaa zaidi.