Weweeee, kujuana kitu gani bana,
ukipanda kwenye dala2 kutokea ilala mpaka magomeni tayari mtu anashuka kwenye kituo sio chake. aseme hapana ili iweje?
wadada kuweni na principle hee: ukisema hapana mwanzoni, huko mbeleni huwezi sema ndiyo, lakini ukisema ndiyo unaweza kusema hapana baadae, NDIYO ya baadae inamfanya kidume aone kama wewe ni mavuno yake as amesotea kama mkulima anavyoandaa shamba na kungoja miezi kadhaa.