How long DOES sex Normally long?

Kwa mara nyingine tena
Wanaume wa dar kama kawaida yenu.
 
Jaman acheni tu dk 45 kipaji km huna watafuta kifo

Kwa stori za kijiweni hata miaka mitatu unaweza kukaa juu ya kinena, ila hali halisi hakuna hizo dakika 40 wala 15. Muda wa kawaida kwa binadamu kuvumilia ile hali ya mushawasha hauzidi dakika saba. Na hata ukifika huko unajitafutia michubuko isiyo ya lazima. As I said kwa storiza vijiweni unaweza kusema hata miaka ukitaka.
 
stori za mitaani wanakuambia demu usipomsugua lisaa atakukimbia.. Siku nikamsugua demu madakika ya maana akakaa wiki hanitafuti anaugulia maumivu
 

Kiongozi hata hizo saba ni mtihani kwa baadhi ya wanaume, nimefanya research
 
Dk 45 ma wacha izooo unataka tanzanite au gold
 
za kijiweni waachie wanao kaa vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…