How Kikwete outsmarted Lowassa - Political case for reference!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Wanajamii I must grab this rare opportunity to document a very attractive political scenario which was discussed for the past 7 years or so.

It is a story of two key politicians who nearly dismantled the great,oldest and grand political party in Africa namely CCM or CHAMA CHA MAPINDUZI.

The duos have deceived one another and they end up in a great battle which awaits the final decision on 25th October 2015.

All clues and cues suggests that it will be Lt.Jakaya Kikwete left as one man standing!!!

Karibuni kwa mjadala !!

#hapakazitu
 
Inavyoonekana chama tawala kimeamua kutengeneza mazingira ya kupoteza imani na wananchi kwa kuona kwamba wanahitaji mabadiliko na wao wameshindwa kuwapa watanzania sasa wanatumia njia za matisho na kejeli na kujitoa ufahamu hata kwa wale wenye weledi wa sheria alimradi wapate fursa ya kutenda mambo yao ya kishenzi ambayo wameyatenda tangu kuanzishwa kwa vyama vingi nchini - udikteta.

Kulinda kura ni haki ya msingi ya raia kama ilivyo kujilinda wenyewe kwa kuwa hata dola zinatenda kusaidia chama tawala - aibu sana.

Sasa mimi pengine ningekuwa na wazo wananchi tuzuie access kwa watu wasiohusika kwenda eneo la kupiga kura ama kupeleka maboksi, ama hot pots, ama mabegi ya fedha, ama kupitisha gari lenye maboksi, ama mtu yeyote tutakayemtilia shaka na ikiwa lile siyo eneo lake la uchaguzi asipewe fursa kwenda eneo la kupiga kura kwa njia yeyote ile hadi matokeo yatoke.

Hii ni haki ya msingi na acha wao chama tawala waongelee kuhusu mita mia mbili (200), sisi tutaongelea kuhusu access ya majizi ya kura. Hapa bado tutakuwa tumelinda kura zetu

Nawakilisha
 
Wabunge Deo Filikunjombe (apumzike kwa amani), Zitto Kabwe na Luhaga Mpina walikesha wakilinda ripoti ya kashfa ya ukwapuaji mabilioni ya pesa kutoka kwenye akaunti ya Benki Kuu ya Tanzania iliyojulikana kama Tegeta Escrow isiibwe.
 
Inavyoonekana chama tawala kimeamua kutengeneza mazingira ya kupoteza imani na wananchi kwa kuona kwamba wanahitaji mabadiliko na wao wameshindwa kuwapa watanzania sasa wanatumia njia za matisho na kejeli na kujitoa ufahamu hata kwa wale wenye weledi wa sheria alimradi wapate fursa ya kutenda mambo yao ya kishenzi ambayo wameyatenda tangu kuanzishwa kwa vyama vingi nchini - udikteta.

Kulinda kura ni haki ya msingi ya raia kama ilivyo kujilinda wenyewe kwa kuwa hata dola zinatenda kusaidia chama tawala - aibu sana.

Sasa mimi pengine ningekuwa na wazo wananchi tuzuie access kwa watu wasiohusika kwenda eneo la kupiga kura ama kupeleka maboksi, ama hot pots, ama mabegi ya fedha, ama kupitisha gari lenye maboksi, ama mtu yeyote tutakayemtilia shaka na ikiwa lile siyo eneo lake la uchaguzi asipewe fursa kwenda eneo la kupiga kura kwa njia yeyote ile hadi matokeo yatoke.

Hii ni haki ya msingi na acha wao chama tawala waongelee kuhusu mita mia mbili (200), sisi tutaongelea kuhusu access ya majizi ya kura. Hapa bado tutakuwa tumelinda kura zetu

Nawakilisha

Lakini fisadi alituhakikishia ana uwezo wa kuzilinda kura ina maana hata yeye hatumuamini?
 
Kwa hiyo wasimamizi wa vituo siku hiyo hawali wala hawanywi?
 
JK bila Lowassa asingekuwa Rais..!! Hili liko wazi na kila mtu anajua..!!

Lowassa is the Most Genius politicians in Tanzania..!!!
 
Wanajamii I must grab this rare opportunity to document a very attractive political scenario which was discussed for the past 7 years or so.

It is a story of two key politicians who nearly dismantled the great,oldest and grand political party in Africa namely CCM or CHAMA CHA MAPINDUZI.

They deceived one another and they end up in a great battle which awaits the final decision on 25th October 2015.

All clues and cues suggests that it will be Lt.Jakaya Kikwete left as one man standing!!!

Karibuni kwa mjadala !!

#hapakazitu

If Kikwete win this battle I swear the battle continues!!But this time will be "The have" and "The have not"..4 sure,Magufuli will never sustain and CCM will loose thereafter!!
 
Kacopy na kupaste hapa hana lolote ni empty kabisa huyu jamaa kichwani
 
Wanajamii I must grab this rare opportunity to document a very attractive political scenario which was discussed for the past 7 years or so.

It is a story of two key politicians who nearly dismantled the great,oldest and grand political party in Africa namely CCM or CHAMA CHA MAPINDUZI.

They deceived one another and they end up in a great battle which awaits the final decision on 25th October 2015.

All clues and cues suggests that it will be Lt.Jakaya Kikwete left as one man standing!!!

Karibuni kwa mjadala !!

#hapakazitu

...Kwenye heading umesema; How Kikwete outsmarted Lowassa: then kwenye content i did not see where/how huyo Kikwete alimu outsmart Lowassa?!
Your argument is fake!
 
Hongera jingalao..title yako na mambo uliyoandika haviendan hata kidg! Mi cjaona umuhim wa neno"how" hapo na hujaelezea chchte! Just so u know hii movie is far frm bein over tarehe 25 ni mwanzo wa movie nyingne na kama Magufuli ataenda ikulu atacheza ngoma isiyomhusu hata kidog na mpk amalize miaka mitano cjui itakuaje ila tupo tutaona. But kumlinganisha JK na Lowassa bado sana..Mmasai kakomaa zaid kisiasa huyu Mkwere anapwaya!! kisiasa mi namlinganisha na Bulembo!
 
Inavyoonekana chama tawala kimeamua kutengeneza mazingira ya kupoteza imani na wananchi kwa kuona kwamba wanahitaji mabadiliko na wao wameshindwa kuwapa watanzania sasa wanatumia njia za matisho na kejeli na kujitoa ufahamu hata kwa wale wenye weledi wa sheria alimradi wapate fursa ya kutenda mambo yao ya kishenzi ambayo wameyatenda tangu kuanzishwa kwa vyama vingi nchini - udikteta.

Kulinda kura ni haki ya msingi ya raia kama ilivyo kujilinda wenyewe kwa kuwa hata dola zinatenda kusaidia chama tawala - aibu sana.

Sasa mimi pengine ningekuwa na wazo wananchi tuzuie access kwa watu wasiohusika kwenda eneo la kupiga kura ama kupeleka maboksi, ama hot pots, ama mabegi ya fedha, ama kupitisha gari lenye maboksi, ama mtu yeyote tutakayemtilia shaka na ikiwa lile siyo eneo lake la uchaguzi asipewe fursa kwenda eneo la kupiga kura kwa njia yeyote ile hadi matokeo yatoke.

Hii ni haki ya msingi na acha wao chama tawala waongelee kuhusu mita mia mbili (200), sisi tutaongelea kuhusu access ya majizi ya kura. Hapa bado tutakuwa tumelinda kura zetu

Nawakilisha

...very good idea;
km wao hawataki sisi tukae hizo mita 200, then hawataki pawepo na matumizi ya simu kwa mawakala, basi na mwisho waseme:
"HAIRUHUSIWI KUINGIZA CHOCHOTE KWENYE CHUMBA CHA KUHESABIA KURA" kama una njaa toka nje ule urudi ndani ukiwa empty without any material,hotpot, thermos or whatever.
Hao mawakala wa Ukawa ndio waliobaki na ni lazima wawe na misimamo thabiti.
 
JK bila Lowassa asingekuwa Rais..!! Hili liko wazi na kila mtu anajua..!!

Lowassa is the Most Genius politicians in Tanzania..!!!

JK bila lowassa amefanikiwa kuiweka CCM na nchi kwenye mikono salama bila kujali makubaliano au uswahiba wake na lowassa.

Jk aligundua usanii wa lowassa na akautumia na kumtema.

JK ndio anastahiki kuitwa political genious!
 
If Kikwete win this battle I swear the battle continues!!But this time will be "The have" and "The have not"..4 sure,Magufuli will never sustain and CCM will loose thereafter!!

The 'haves' define themselves with UKAWA and the 'have nots' stick with CCM.
 
...very good idea;
km wao hawataki sisi tukae hizo mita 200, then hawataki pawepo na matumizi ya simu kwa mawakala, basi na mwisho waseme:
"HAIRUHUSIWI KUINGIZA CHOCHOTE KWENYE CHUMBA CHA KUHESABIA KURA" kama una njaa toka nje ule urudi ndani ukiwa empty without any material,hotpot, thermos or whatever.
Hao mawakala wa Ukawa ndio waliobaki na ni lazima wawe na misimamo thabiti.

Mbona mna hofu ya kuibiwa wakati mlisema hata ziibiwe mtashinda?
 
Back
Top Bottom