How Kikwete outsmarted Lowassa - Political case for reference!

How Kikwete outsmarted Lowassa - Political case for reference!

JK bila lowassa amefanikiwa kuiweka CCM na nchi kwenye mikono salama bila kujali makubaliano au uswahiba wake na lowassa.

Jk aligundua usanii wa lowassa na akautumia na kumtema.

JK ndio anastahiki kuitwa political genious!

The 'haves' define themselves with UKAWA and the 'have nots' stick with CCM.

Nani huyo asiye na kitu kichwani?
Elezea uweleweke mkubwa..!

Ukishakuwa jinga lao unadumu kuwa mjinga. JK ni wa hovyo, mnafiki, hata siku moja hawajibiki kwa makosa yake. Hajui kwa nini Tanzania ni masikini. Wajinga kama wewe na wengine kwenye nafasi kubwa tu serikalini mmetupotezea fursa nyingi za kila aina za Tanzania yenye neema
 
CCM iliitikia wito wa wananchi wa kuvua gamba na kuwaondoa mafisadi.CCM ikamkata lowassa kwa kuwa alikuwa gamba,CCM ilimuondoa kuwa waziri mkuu baada ya kelele za wananchi kuhusu ifisadi!

CCM iliwatosa mawaziri kwa kutajwa kuhusika na ufisadi...CCM imefanya yote au kwa asilimia kubwa ilifanya yote yaliyopigiwa kelele na watanzania.

HII NDIO SABABU YA WATANZANIA KUIKUBALI CCM NA KUITOSA CHADEMA ILIYOGEUKA KUWA KICHAKA CHA WALIOTOSWA NA CCM.
 
Ukishakuwa jinga lao unadumu kuwa mjinga. JK ni wa hovyo, mnafiki, hata siku moja hawajibiki kwa makosa yake. Hajui kwa nini Tanzania ni masikini. Wajinga kama wewe na wengine kwenye nafasi kubwa tu serikalini mmetupotezea fursa nyingi za kila aina za Tanzania yenye neema

JK amevumilia mengi ambayo ni mabaya ya walio chini yake.
 
I dont understand this argument brought here because I dont see the connection between what the writer stated and the rest of the information in his thread
 
Lowasa angekuwa genius asingeenda chadema kama mkiwa. Kajaribu kuvuta watu lakini hawavutiki.

Watu wote wenye nafasi wenye kujali hali zao za baadae kisiasa wamemkacha. kaishia kuwapata kina sumaye, kingunge, na mwapachu.

Kabaki kucheza na akili za walio kata tamaa na kuwa danganya

Hii ni kufeli kukubwa
 
I dont understand this argument brought here because I dont see the connection between what the writer stated and the rest of the information in his thread

It is impossible to appreciate the intention and logic of the writer if you can not recall the history or rather your mind was never exposed and used to..this kind of facts
 
The 'haves' define themselves with UKAWA and the 'have nots' stick with CCM.

Jingalao you will remain stupid as you're name says!!even std 3 pupils will tell you it's the vice versa..and that makes them smarter than you JINGA!!!
 
Huwezi kulinganisha Ujinga na Lowasa.
Lowasa ni zaidi ya Rais, anajua kile anachofanya.
 
If Kikwete win this battle I swear the battle continues!!But this time will be "The have" and "The have not"..4 sure,Magufuli will never sustain and CCM will loose thereafter!!

Who cares if Magufuli loose thereafter? The battle is between the JK and EL
 
Wabunge Deo Filikunjombe (apumzike kwa amani), Zitto Kabwe na Luhaga Mpina walikesha wakilinda ripoti ya kashfa ya ukwapuaji mabilioni ya pesa kutoka kwenye akaunti ya Benki Kuu ya Tanzania iliyojulikana kama Tegeta Escrow isiibwe.

Kwa hiyo?
Post yako haijakamilika mkuu.
Inabidi uihusishe na mada husika.
 
Back
Top Bottom