How kan i know.....

Anayekupenda atakujali, atakuheshimu na kukusikiliza.
Anayekupenda hawezi kumaliza siku nzima bila kukujulia hali na hiyo ni kwasbb muda mwingine utakuwa akilini mwake.
Anayekupenda hapendi kuona unakosa furaha kwa namna yoyote ile.
Hapendi kuona upo matatizoni. Hata kama hana uwezo ya kukusaidia atakufariji.
Anayekupenda utamjua tuu wala haina ubabaishaji.

Kwa hali hii wengi sana mta danganyika,trust me,
kukupigia simu mara kwa mara himaanishi ana kupenda
 
Kwa hali hii wengi sana mta danganyika,trust me,
kukupigia simu mara kwa mara himaanishi ana kupenda

sijamaanisha kuwa mtu kukupigia simu mara kwa mara ndio anakupenda.
Nimemaanisha yule anayekupenda hawezi kumaliza siku hamjawasiliana kwa namna yoyote.
Hivyo ni vitu tofauti. Ukifikiria kwa makini utagundua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom