How i met your mother

Kama upo dar es salaam kesho njoo hapa maeneo ya moroko , ukiwa na flash kubwa au external hdd , ila itakubidi uniachie walau na kapesa ka soda , asante sana na karibu sana ,

kwa maelezo zaidi ni pm

CC TANMO Mentor there is no free lunch
 
Last edited by a moderator:
Mkuu norkim1991 naomba na mimi nikutafute ila weekend kaka. Nahitaji season 9 tu!
 
Last edited by a moderator:

Hayo maongezi yanafanya nionr hii series ni ya kutafutwa!
 
Nimekuja mbio mbio!nilivo mbeaaaa!
nkajua yeeees!Mdingi anafunguka huku!
Bas tufanye iwe title ya kikweli kwrli!
The Boss Mtambuzi Kaizer NyaniNgabu HorsePower Asprin Mr.Rocky Dark City Mkirua Mentor KakaKiiza et al mkuje

na huyu atoto alikuwa bado kutungwa mimba mkuu...ni shida... Asprin alikuwa bado kijana hajawa Babu!

na huyu atoto alikuwa bado kutungwa mimba mkuu...ni shida... Asprin alikuwa bado kijana hajawa Babu!

Hommie, kikombe alichonipa baba, sitakinywa?

Hakika kabla jogoo hajawika, mwalimu wako hapo juu atakuwa hajasahihisha homework....:glasses-nerdy:
 
Hommie, kikombe alichonipa baba, sitakinywa?

Hakika kabla jogoo hajawika, mwalimu wako hapo juu atakuwa hajasahihisha homework....:glasses-nerdy:

Hommie.nawakumbusha vijan wasutupimie tumetoka mbali....ni wachache tumerudi kumpa Bwana shukrani japo tuliponywa kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…