How I Met My Wife

IMEISHA VIZUR SANA...HONGERA NZI CHUMA...
 
ILA HAKIKA HII NI SINEMA HASA KWA NAI PALE DUH
 
Mkuu nakushukuru sana, tuko pamoja..!! Mimi kwa sasa ni mwalimu mzuri sana katika haya mambo.. Dada nitafikiria namna ya kumsamehe nahisi kama naanza kuwaelewa hivi...!!
WEWE NDIO UNATAKIWA UMUOMBE RADHI DADA YAKO HATA KAMA UKITAKA KUKAIDI....YEYE ALIKUWA SAHISI KABISA....ILA MWIHSO WA SIKU SIO KESI HATA USIMPSAMEHE NI WEWE NA MOYO WAKO..FAIDA/HASARA ZA KUWEKA KITU MOYONI KAMA HICHO UNAIFAHAMU.....MUDA NDIO HUU UKIWA HAI NA YEYE AKIWA HAI...USIJEJUTA WEWE KWA SASA UNADAHNI UKO RIGTHT SIDE...AU NI UBISHI TU KAMA WA NANILIII WETU SIJUI NANI
 
Pole mkuu..nimeona jina nkashtuka kitambo sana sijakubumia na macomment sema nadahani sababu majukwa mengine yale sijapita muda sana...au thread zingi zingine.....nimetekwa na kwasa sms za maggegedo...ikaja hatarishi kugegedana sasa ya kimasihara ikafunga na kufungua mwaka...na imekuwa Jenerali kabisa hiyo thread
 
MKUU NIMESOMA JAPO KUNAMUDA NIMEHISI NAFORCE KUSOMA AUNI MAUSINGIZI TU MAKALI NDIO MAANA NAHISI HIVYO...ILA KIKUBWA NAONA KAMA UNAANDIKA HARAKA SANA KAMA UNAKIMBIZWA HIVYO KUKOSA MTIRIRIKOMZURI....BORA USIANDIKE HARAKA ILA STORY IWE NA FLOW NZURI PIA UPANGGILIE VIZURI MATUKIO....REVIEW KAODO UNAVYOANDIKA STORY ILI UKILETE KWA MTIRIRIKO MZURI
 
Kuna pahala nimesoma palikuwa pameandikwa "Kwenye mahusiano mwanamke anapompenda zaidi mwanaume, kuliko namna mwanaume anampenda mwanamke. basi mapenzi hayo hudumu"

nikadhani muandishi wa haya maneno alikuwa amekunywa mbege na akashushia na gongo mbili baridi.


Ila nikaja kufumbuka baada ya kumsoma Kiganyi.
 
Nilihisi mke atakuwa nasra..ila Nora anamoyo wa kipekee kushare..uwii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna pahala nimesoma palikuwa pameandikwa "Kwenye mahusiano mwanamke anapompenda zaidi mwanaume, kuliko namna mwanaume anampenda mwanamke. basi mapenzi hayo hudumu"

nikadhani muandishi wa haya maneno alikuwa amekunywa mbege na akashushia na gongo mbili baridi.


Ila nikaja kufumbuka baada ya kumsoma Kiganyi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…