How govt will spend Sh21bn for nothing

sio asikaribishwe
inatakiwa aitwe kanisani ili apewe makavu live na maaskofu iwe funzo kwake na washirika wake
 
Uhuni huu wa CCM na serikali yake bila kujali haki za wananchi ipo siku watajutia kupingisha kilichotoka kwa wananchi kwa masilahi yao binafsi.
 
watz tunaongoza kwa utindio wa ubongo, kwa nchi za watu wenye akili mambo ya kijuha kama haya yanayotendeka nchini hayapo kabisa.
 
Reactions: BAK
This is shit...daah kwa namna hii hamna maendeleo hizo pesa si bora zingetumika kununua madawati kwa Shule ..kujenga madarasa. Aisee. ...maendeleo ni bure hapa
 
Haya ndiyo tuliyoyatarajia ..
Si tofauti na hapo ..!!shame!!
 
siku zote wanasiasa wa tanzania msitegeme mambo mema kutoka kwao wao ni kupiga domo domo tu...kwanza hawazalishi kitu chochote wao wanatia hasara tu
 
Nashangaa mna mlaumu sitta kwa lipi. Wakulaumiwa ni UKAWA ambao walikacha kwa masudi kuendelea na bunge. Nia nzuri ya Kikwete kuwaachia wa Tanzania katiba mpya imekwamisha na uroho na ubinafsi wa ukawa

Ninadhani sitta hana kosa yeye hakushiriki kikao hicho.anangojea kushauriwa kimaandishi kwa sabau kisheria rais hana mamlaka ya kulivuna bunge la katiba.tutazame kisheria nani mwnye mamlaka ya kulivunja au kuahirisha bunge hilo.sitta hawezi kuamua kutokana na kusikiatuu.vinginevyo nchi itakuwa inaongozwa kwa hearsay.
 
Pesa ni nyingi lakini kwa kuwa wamelipwa Watanzania kwa muda waliotumia kukaa Bungenu let accepts it. kwani serikali ambazo zinawalipa wazee au raia wasio na kazi si sawa na hiki kilichofanyika?
 
kingine kizuri ni kwamba roho katili ya sitta imedhihirika mapema,.. i cant believe wameamua to rob the poor and the hungry in broad day light!

Unlike Robin Hood who robbed the rich to give to the poor, this robber from Urambo is robbing the poor who cannot even afford a meal a day!!! Mungu atamuadhibu hapa hapa duniani siku si nyingi.
 
Reactions: BAK
Hivi Sitta hana mtu wa kumuwajibisha? Jk naye anashindwa nini kuonyesha nguvu ya uraisi kwa kulivunja hili bunge. Mnapo sema mtaendelea na mchakato 2015 mna hakika gani raisi ajae atakubali huu uhuni uliofanywa na bunge la Sitta let alone ccm kushinda.
 
Reactions: BAK
Hivi sitta anapenda mabilioni ya watanzania yatafunweeeeeee tuuuuu pasipo na matokeo....Nani atatusaidia wananchi...something has to be done...hapana...this is too much
 
Reactions: BAK

...kiukweli kale kazee kamechemsha sana, kanalazimisha tu hata hakaoni aibu. akidi haitimii kamekomaa mpaka wanawatisha wana ccm waliogoma kufanya ujinga huu. baada ya kuona hawatishiki basi kameamua kuwapa fursa ya kupiga kura kule waliko. Wamempa fursa ya kuonekana anabusara kuahirisha mchakato yeye kakomaa tu. hata muuza muuza ugolo hawezi kufanya maamuzi kama haya ya mzee 6...!!
 
Nashangaa mna mlaumu sitta kwa lipi. Wakulaumiwa ni UKAWA ambao walikacha kwa masudi kuendelea na bunge. Nia nzuri ya Kikwete kuwaachia wa Tanzania katiba mpya imekwamisha na uroho na ubinafsi wa ukawa
Hiyo katiba ya watanzania ndiyo inajadiliwa au umekurupuka tu...
 
Reactions: BAK

Mkuu wa kumuwajibisha Sitta ni watanzania bahati mbaya sana tuna piga porojo tu hapa hebu tuingie barabrani na kuhakikishia tukiingia leo kesho hakuna bunge la posho...
 
Reactions: BAK
Wale tulipaswa kwenda kuwafurumusha mle ndani kwa viboko .......... kila siku wanaingiza mfukoni kodi zetu bila soni wala haya ....... Hii nchi ina ombwe la uongozi wa kutisha ........ anakosekana mtu wa kusema neno moja tu biashara ikaisha .........inakera kweli kweli ................. :doh: :frusty::frusty:
 
Reactions: BAK

uchakachuaji wa kipumbavu ... eti watu wapige kura nje kwa kitu ambacho hawakuwepo kukijadili na si ajabu hata hawakuandaa ..... ni sawasawa na mtu anayeenda shambani kuvuna wakati anajua hakupanda chochote!
 
Inatia hasira sana mkuu BAK

Tumeshafikia hatua sasa tumezoea hii hali na sisi tumekua sehemu yake kuona hela zetu zinafujwa kirahisi kiasi hiki.
Watu wengi sasa maweshakata tamaa kutokana na philosofia ya uongozi kwa Kaka mkubwa ambao umepelekea wa chini wafanye watakavyo tu...

Naogopa sana mwisho wa huku kutaka kwetu tamaa kutakapofikia yatatokea nini................ Kwa bwana six hii bila shaka ndio fursa yake ya mwisho ya kuchaguliwa atabaki kuteuliwa tu wa walaji wenzie.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Do we have scenarios were we mended or went against the constitution? not even for the public interest?
Want do we use the same for halting the CA for the interest of the public even if the president does not have the constitution powers to desolve/halt it?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…