How does it work?

Nalo ni somo ujue au sababu we ni mwanamke?
 
Namba ni hatua ya kwanza. Ikianza vizuri una nafasi kubwa ya kufanikisha lengo lako. Sasa ukiomba namba ukanyimwa au kupewa kwa kulazimishs sana si ushajua obvious huyo mtu hana interest na wewe. Its not a guarantee but its a good sign.
 
Namba ni hatua ya kwanza. Ikianza vizuri una nafasi kubwa ya kufanikisha lengo lako. Sasa ukiomba namba ukanyimwa au kupewa kwa kulazimishs sana si ushajua obvious huyo mtu hana interest na wewe. Its not a guarantee but its a good sign.
Ulishawahi kupewa namba Pm?
 
unajikuta mwenyewe...... Nyie mnajifanya MNA mashauz ndo mnagegedwa saaana..afu watu nyie drama nyingi tuu...lakini weng wenu n washamba
 
Mwanamke ni unpredictable! Ila jua ukishaona response ni ndogo ujue hajakuelewa usepe mapema mfno unatuma text afu anajibu baada ya masaa kadhaa
 
Namba ni stage nzuri ya kupita na manzii chaliakeee.
Ila kwenye convos..unatakiwa uwe janjaro chalaa mambo ya kuzingatia kwanza mamanzi hawapenzi ushamba..onyesha wewe sio wa kuja..pia kuwa charms...mchekeshe..Mfanye ajisahau anachati while kumbe anachati..

Pia, coz ndio mmefahamiana tu hatapenda stori mob kuwa streiti..sio utume meseji refu kama kungwi anaefunda wali kwenye group la whassap
.

Hawapendi chalii mwenye mtero..onyesha umetulia..tena usionyeshe unaukameee naeee. Ataanza kukuniaje..vitu kama hii aseeh manzi hachomoki mzee. Sio wote lakini
 
Mapenzi hayana kanuni wala utaratibu maalum unaotumika kila mahali na kwa kila mtu, ingia unavyoona inafaa kwa yule unaemkusudia,ukifuatilia watu utaugua.
 
nipe namba scorpio tutachat tuu sina makuu mie
 
Inawezekana kumbe ni kweli kabisa kwamba msichana anavoamua kutoa namba kwamba ameshakuelewa, so hapo ni wewe kumalizia na ku swim with tides. Nimekupata vilivo nadhani baada ya huu uzi creativity itaongezeka
Usiniangushe mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…