Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,720
Yeh, sasa mi ndo nlikua nataka kuzi explore hizo steps.. embu tiririka mkuu.Ukichukua namba ya simu usikurupuke..Hawa dada zetu unatakiwa uanze nao mbali kidogo unamleta taratibu mpaka anaingia kingi. Sasa mtu anachua namba leo,leo leo anamuambi dada nakupenda na maneno kibao. Kuna ambao wanaweza kukukubali ila walio wengi watakuzingua. Ukipata namba ya mrembo nitumie nikuonyeshe practical
Yeh, sasa kuna wale makauzu huwa hawatoi ushirikiano ukishanzisha convo.. huwa inanitokea sana mwisho wa siku naamua kuwapotezea.. itakuwa kuna step namiss?Tunajua wanawake wanapenda care kutoka kwetu..so kupitia namba itakua rahisi kumjulia vihali vya hpa na pale..mwisho ataona unamjali alaf unamaliza pale kat
Wewe sema kwanza steps zako ili tuone kama unakosea sehemu au lahYeh, sasa mi ndo nlikua nataka kuzi explore hizo steps.. embu tiririka mkuu.
unatakiwa uwe funny kidogo..ladiez wanapenda kufurahishwa..so hakikisha convo yako haim.boi..Yeh, sasa kuna wale makauzu huwa hawatoi ushirikiano ukishanzisha convo.. huwa inanitokea sana mwisho wa siku naamua kuwapotezea.. itakuwa kuna step namiss?
EveryBooody Say Yeeeeeaaaah!unatakiwa uwe funny kidogo..ladiez wanapenda kufurahishwa..so hakikisha convo yako haim.boi..
Ila ukiona no ushirikiano kabsaaa, piga chin maan hawa n wengi kuliko sisi
Yeh, Nimekupata vilivo mkuu umerusha jabs zenye point kali sana mkuu... kudos!Huu mchezo huwa uko hivi:
Kwanza futa akilini mwako kwamba kila mwanamke atakaekupa namba utampata. Hata hao wanaosema huwa wanasema tuu lakini sio kweli. Lakini, kuwa na namba ya mwanamke ni hatua muhimu katika kujiweka karibu nae na pengine kumpata.
Ukweli ni kwamba kati ya wanawake labda kumi watakaokupa namba, ukienda nao vizuri unaweza ukatafuna labda watatu au wanne kwa vipindi tofauti. Kuna ambao watakupa namba leo, baada ya wiki unakula mzigo, wengine wakawa wanakuzingua, wengine utawapiga chini mwenyewe baada ya kuona hawasomeki, wengine wapya wanakupa namba.. Na mchezo unaendelea....
Mimi nlijaribu nikashindwaMi Namba Hata Hazinisaidiagi. Mahusiano Yenyewe Nishaachaga Zamani. NETFLIX And Chill.
Inawezekana kumbe ni kweli kabisa kwamba msichana anavoamua kutoa namba kwamba ameshakuelewa, so hapo ni wewe kumalizia na ku swim with tides. Nimekupata vilivo nadhani baada ya huu uzi creativity itaongezekaSudhani kama wanawake wanajirahisisha kiasi hiko.
Wengine wanakupa namba simply kwasababu wameanza kuvutiwa na wewe. So, kukupa namba ni kama kuzidi kukuweka wewe karibu.
Na usidhani kula mzigo ni baada ya juhudi zako, inawezekana ni yeye amedhamiria kufanya hivyo.
Wakati mwingine tunawa-underestimate wanawake kwa uwezo walionao.
Kuna wengine kama wamevutiwa na wewe watafanya njia zote uwaombe namba wewe.
Wanakufanya ujione kama juhudi zote umefanya wewe.
Yeh, hapo nimekupata vema kaka, so baada ya kupata namba inatakiwa ku deal na quality ya convo? maana mimi most of the time najikuta nawasiliana na manzi mpaka tunajeuka kama kaka na dada,, kuna mmoja mpaka ikawa kila akiingia mwezini ananiambia, kwa kweli nlishindwa kumuelewa hasa alikuwa anamaanisha niniNumber kwa kizazi chetu cha dijitali, inakusaidia kumsoma vizuri huyo manzi. Kupitia DPs na status unaweza kujua taste, mood, behaviour, class, you name it. Then you make your moves, accordingly.
For smooth playas, just a 20 minutes convo and she starts coming after you.
Yeh, hapo nimekupata vema kaka, so baada ya kupata namba inatakiwa ku deal na quality ya convo? maana mimi most of the time najikuta nawasiliana na manzi mpaka tunajeuka kama kaka na dada,, kuna mmoja mpaka ikawa kila akiingia mwezini ananiambia, kwa kweli nlishindwa kumuelewa hasa alikuwa anamaanisha nini