Namba 1 na 2 zinawafaa wanaokaa chumba kimoja kama uswazi manake hujui watoto wanaamka mda gani. 3 na 4 ya sisi we vibanda kule mwabepande kama umeweka fance hata mchana namba 4 kama kawa
my mate alikua na tabia za ku use namba 4 ss siku moja asbui na mapema si watu wakapiga kelele za motooo!!!!wee!!!wacha akurupuke na kutaka kutoka nje imagine kutoka floor ya 4 mpaka chini wacha nipate kazi ya kukazana kumpa dera avae!!!