How do you remember your Ex?

Tulikuwa tunachapana miti hadi wale wahindi wa ghorofa ya jirani wanabaki wanakula chabo hawana mbavu. Dirisha lote nilikuwa nalifungua naliacha wazi na pazia nalifungua kwaajili ya kupata hewa maana utianaji tuliokuwa tukiufanya ni motoooo wa hatari lakini salama
 
Wasalimie hapo Uyole
 
Kwa mengi Sana aseh.. numero uno..
Kuspend four years with her..
Mapenzi Yalikuwa Moto.. kwa kipindi Cha miaka mitatu na nusu sikuwahi kumkinai /kumchoka.
Alikuwa anapenda music so Kuna nyimbo nikizisikia huwa nafurahi au nahuzunika nikimkumbuka.
Mara nyingi huwa ninanext songs ambazo Sina kumbukumbu zetu kila nikizisikia.
Alikuwa mpishi hodari...
She sacrificed all..
Lakini ndo hivyo universe forces hazikutupenda...
Barikiwa sana Mimi.
 
Duh? Mkuu ulifaidi sana, kwann mliachana?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…