How do you remember your Ex?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,719
Wangu.alikua anacheza mziki kitandani,

Mungu amjalie huko alipoolewa.

Huyu.mwanamke sijawahi. kumsahau hata baada ya kuoa na yeye kuolewa.[emoji7][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji851]

AKON "dont matter"
live long my Rosie a.k.a Aggie

Kwa sisi wazeee wa kupashaa viporo

Mwendo ni uleule "" Stop bad-mouthing your EX"
Natamani aisee[emoji3059][emoji3059][emoji8][emoji8] sema yupo mbali🦮[emoji240]‍🦺[emoji240]‍🦺[emoji250]
 
Itoshe kumuombea Baraka na mafanikio tele kwa kila kitu anachokifanya.mwamba alinibeba sehemu ambayo hata ndugu wakaribu waliniacha.Mungu akutunze J popote ulipo.
[emoji1756][emoji851]
 
Mimi kwa kawaida sinaga uadui na my exes, they all got love for me. Na hata changamoto za hapa na pale tunawasiliana.
Lakini kupasha viporo big NO. Women these days aint to be trusted, especially the ones we break up with.
Sure
 
Mada ni unamkumbukaje ex wako?unamkumbuka kwa lipi?

Sio suala la uadui ama urafiki
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…