How do you overcome this

Uanze kuchukulia mambo kirahisi sana.

Mfanye akupende na kukuamini.

Na wewe mpende na kumuamini.

Tatizo lako kubwa huna TRUST kwa mpenzi wako na hapo ndo tatizo kubwa linatokea.
apo kwenye trust ndo pagumu mkuu,,hua nina tatizo lakumuamin mwanamke mana uko nyuma i use to do that na matokeo yake hayajawah kuaga positive
 
apo kwenye trust ndo pagumu mkuu,,hua nina tatizo lakumuamin mwanamke mana uko nyuma i use to do that na matokeo yake hayajawah kuaga positive

Usiyachukulie mahusiano serious sana.

Chukulia poa tu.

Hutaumiza kichwa.
 
tenda wema nenda zako
yani iyo ikimaanisha kula mambo yako alafu unasema bye
 
Ni shule ipi ya kata unasoma na pia darasa la ngapi?,, nakisia utakua darasa la tano au siyo?,,so stop wasting our time and dont come back here again idiot ok? ,.,,.,ETI INSECURE,NAJIONA VULNERABLE ( NOT VULNEARABLE) SO THE BEST THING NORMALY(NOT INORMALY)TO DO IS TO BREAK UP ILI NUSIUMIE NA AKIZINGUA ATANIUMIZA SANA MY FOOOOT,.,,.,,WEWE UNGEKUA KARIBU YANGU NINGEKUSAGA NYAMA YAKO NIKATENGENEZA SAUSAGE ZA MBWA WANGU KENGE WEWE UMESIKIA EENH.
 
LOOOSER AT HIS BEST,..,. THATS IT.
 
How comes mwanaume unaumia coz ya mapenzi?nawashangaa sana ujue..asa changamoto kubwa za maisha mnawezaje kuzitatua kama mapenz tu yanawaliza?
 
Khaaa una ugomvi na mtoa mada?
 
Mtoto wa kiume sio muoga wa hii mambo mkuu, yaani unaogopa kuachwa na mwanamke? sidhani km wanajeuri hiyo labda iwe huna mshiko angalau wa kubadili mboga na uwezo wa kugegeda vilivyo ndio utaogopa, otherwise mambo ni burdani tu siku hizi.
 
How comes mwanaume unaumia coz ya mapenzi?nawashangaa sana ujue..asa changamoto kubwa za maisha mnawezaje kuzitatua kama mapenz tu yanawaliza?
kumbe wanaume hua hawaumii ee,,,dont be stupid bro,mapema hayana jinsia ote wanaumia
 
naona umeandika uku umekalia kitu kigumu,,so sishangai next time andika ukiwa ume relax hautaandika shudu iz,,aya kaoge mana unanuka harufu za aina tofaut ambazo ni unpleasant ata ivo
 
Mtoto wa kiume sio muoga wa hii mambo mkuu, yaani unaogopa kuachwa na mwanamke? sidhani km wanajeuri hiyo labda iwe huna mshiko angalau wa kubadili mboga na uwezo wa kugegeda vilivyo ndio utaogopa, otherwise mambo ni burdani tu siku hizi.
hahaha
 
wanapsychology apo tunasema ther z conflict between id ego and super ego ndo znadetermine your feelings sasa angalia super ego icije fail to judge then ukaanza madefence mechanism ha ha napita tu ila ni vizur unitafte nikupe ushauri au tafta kituo cha cancelng utaweza kuchukua maamuzi ya busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…