How do you overcome this

exactly,i think i should pm u
 
ndo ivo mkuu,ukisha
Ama ulishawai kuumizwa kwenye mahusiano? Ni vizur kuchukua tahadhari ya kutokupenda hadi ikapitiliza kwa mtu ambaye bado hamjasomana vizur lakin imani ya kuwa naye na ndiyo chaguo lako la maisha inamchango mkubwa sana kupata partner wa kudumu...
ndo ivo mkuu ukishagongwa na nyoka,,ila ntazingatia ushauri seems utanifaa
 
Hali hiyo inakutokea ukiwa na wasichana tofauti au ni huyo tu?
 
Ina maana hutakuja kuoa?

Utaishije kwenye ndoa kama utakuwa unsecured kila siku?
thats my point mkuu ndo mana i came out seeking for some councelling maana najua sooner than later i will have to go in
 
Pole ndugu....lakini nadhani unapaswa kuangalia your background....hapo ndo tatizo lilipo....kuna mahali shida ilipoanzia....jichunguze ni kitu gani kimepelekea uanze kuwa insecure....share it, we can help from there
 
Kwa iyo unaogopa kupenda, we mtoto wa kiume acha uoga.
 
thats my point mkuu ndo mana i came out seeking for some councelling maana najua sooner than later i will have to go in

Uanze kuchukulia mambo kirahisi sana.

Mfanye akupende na kukuamini.

Na wewe mpende na kumuamini.

Tatizo lako kubwa huna TRUST kwa mpenzi wako na hapo ndo tatizo kubwa linatokea.
 
Pole ndugu....lakini nadhani unapaswa kuangalia your background....hapo ndo tatizo lilipo....kuna mahali shida ilipoanzia....jichunguze ni kitu gani kimepelekea uanze kuwa insecure....share it, we can help from there
poa mkuu,,ntaufanyia kaz ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…