How do i win | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How do i win

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by peterson peter, Apr 27, 2011.

 1. p

  peterson peter New Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nipo form 5 mbezi beach nachukua comb ya ECA naombeni ushauri nifanye nin ili nipas at higher level
   
 2. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hard working..usipoteze muda wako mwingi kwa mambo yasiyo ya lazima.kuwa na ratiba makini na unayo ifuata.
  usipote muda na Facebook na JF.
   
 3. Mani H

  Mani H Senior Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwanza tambua kuwa kupass au kufeli kuko kichwani mwako. kwanza jitambue kwa kujiuliza wewe ni nani, umetoka wapi, na unaenda wapi. pili, timetable, si kupang tu ratiba yako ya siku mzima bali na kuifuata bila kukwepa na kwenye hiyo timetable yako zingatia kuwa angalau masaa yasiyopungua matatu kw siku uyatumie kwa kusoma, tatu. hardworking, uewe na jitiada za ziada katika masomo yakokw mfano kutafuta tuition,kwenda library,discussion,na ikiwezeka kutumia mda mwingine tumia mda wako wa free kwa kusoma. nne, kuwa karibu na waalimu wako na wanafunzi wazako kwa kuuliza maswali usiyoyajua. tano, jifunze namna ya kujibu maswali ya mtihani. sita , pitia pastpaper atleast 6 years back. hayo ni machache niliyonayo kwa sasa ambayo kwa juhudi za binadamu chini ya jua anaweza kufanya , ila tabua kuwa kuna mengine mengi ambayo yako juu ya uwezo wetu ambayo atuwezi kuyafanya wala kuyapanga kwa kulitabua ili ibada za mara kwa mara zinaitajika tena sana, muombe mungu afanikishe jitihada na malengo yako. thanks
   
 4. x

  xman Senior Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi sitofautiani sana na wadau waliyokushauri cha zaidi ni uachane na magroup yasiyokuwa na msingi mdogo wangu, soma kwa bidii unachofundishwa na uelewe sio u crame hapana, kusoma ni kuelewa
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kwanza hakikisha una vitabu vyote vya kiada ambavyo ni latest
  pili uwe na vitabu vya ziada pia vyakutosha..
  tatu hakikisha upo kwenye group ya watu ambao ni vichwa
  ikiwezekana wote wakuzidi...

  halafu jisomee usiku sana.......
   
Loading...