kuna njia nyingi ya kwanza ni bonyeza menu then connectivity then tafuta wlan ukiipata bonyeza option utaona pameandikwa start browsing then click itakuredirect kwenye built in web ya simu
pindi ikikudirect simu automatic inatengeneza access point ya hio wireless in case hata kama ni ya key next time haitakuuliza key
so kama umepata access point ya wlan yako unaweza tumia applicatiom kama opera, ucweb whatsap kwa hio access point.
Kama unaona unapata tatizo la simu kukumbuka wireless access point ujue signal za hio wireless zipo low