HOW DO I LOOOOK!! DON'T BE SHy,PLEASE TELL ME EEEH!! WHAT??? AM LISTENING........................MMMH REALLY?
Shukrani zangu za dhati zikwende kwa mtarajiwa wangu
platozoom sehemu yeyote aliko hata kama kwa
AmKATRINA, kwa shem wng wa ukweeeee
Young_Master shostito na mshauri wangu wa kariiiibu
cacico na
charminglady, Bishanga, @Kipipi upo? babu kijana
Asprin na
wakeze na watoto, wajukuu na vitukuu, vilembwe na vilebwekezi. fungua shule ya msingi ntakusaidia. duuuh!
shukran kwa washiriki ingawa walichakachua na hawakushinda
Erickb52 na wengineo walioleta maombi yao kwa njia ya pm
Taz na wengine wengi majina yamenitoka kichwani.................
kwa kutumia avatar hii mshindi anajijua ila alipendekeza asitwaje hadharani kwa ajili ya sababu za
kimapenzi, anahofia usalama wake
ameshabagwa na kumiminiwa mara kadhaa wazoefu wa humu watakuwa wanamjua ni......................
kamati ya maandalizi ya zawadi iko mbioni kumshawishi atajwe hadharani akikubali ntarudi na majibu.
Wenu.......
Ummu kulthum Platozoom