Mbona hujanisaidia shida yangu? Kuhusu avatar, soma https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/448202-kubadilisha-avatar.htmluna avatar mbovu sana
Asante Likwanda kwa link nzuri ya JF Mobile users. Nitaisoma na kuchota maarifa yaliyomo.Mkuu, uwe unaangalia stickly thread ambazo huwa zinajibu matatizo sugu. Kama haujaiona BONYEZA HAPA.
Mkuu hakuitwi kudownload kunaitwa ku upload.
Huyo mchina wako ana hata operamini? Kama hana endelea tu kutumia laptop
Wee bwana wee! Mimi simo kwenye dunia ya android, blackbelly na iPhone! Kwa hiyo nafuta swali langu la msingi.Wengi wanapost picha kwa kutumia simu, ni zile simu zenye uwezo wa kusapot Jf app maalumu.
Mfano simu za android,blackberry na iPhone.
Sijui wewe unatumia simu gani.
Lakini ngoja waje wataalamu watakufafanulia zaidi.!!