colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,926
Habar mabaharia wa jf ,
Leo nimerudi kidogo na ka mkasa flani hivi
Ni mda kidg wife hayupo home ,nimekua ninaishi alone
Sasa hapa jirani kwetu kulikua na kaschana (mwanafunzi) alimzoea sna wife alikua anakuja na kumseidia kazi za ndani sometimes aliondoka kwa mda kidogo
Sasa jana karejea ,kuja kugonga anamuulizia dada nikamwambia dada hayupo so now days nipo tu mwenyewe so from nowhere akaniahidi leo atakuja kunifanyia usafi wa ndani
Skua hata na mazingatio sna juu ya hilo , cha kushangaza leo mtoto kaja kavaa kapendeza mno
Basi nikamuonesha aanzie wap kufanya usafi , kafanya weee kamaliza kaja ku keti sehem tukawa tunacheki tv pamoja
Basi sikuweza kuamini , mtoto si ameanza kunisogelea na kuanza kunipapasa mkononi daah macho yamenitoka kumshangaa
Eti " kaka fulani mm nilikua nakutamani sana tokea zaman sema nilikua namuogopa tu dada "
Mmh nikimcheki mtoto yupo high on feeling na kumanisha she is ready to do .....
Yaani nikaona hapana siwezi kumshusha wife thaman kiasi hicho kwa ki dent ambacho hata kuvaa pad hakijajua vzur
Nilichofanya nimemshika na kumsogeza tu pembeni na kumwambia
"No i cant do this" na kwamba hisia zangu ni kwa mke wangu tu na sio kwa mwengine so i am so sorry for that
Hakuamin vzur hivi nahis awali ila at the end akaona nipo serious
Nikampa note ya 5000 nakumwambia asante kwa kuniseidia usafi
Yaani mabaharia mpaka saivi nashangaa nimewezaje kifanye vile
How did i do that?? Kwani hivi vyenye supu ndo ilikua ndo hobby yangu
Au wife kaniloga ??

Au wife kaniloga