How dangerous is musterbation?

dr foc

New Member
Jun 8, 2016
3
1
I want to know negative effect of masterbation

Kwa ufahamu mdogo niliokua nao hivi, kwanza kabisa puchu/punyeyo hufanyika kwa hisia ya kufanya ngono na mtu au hisia za picha za ngono ulizoona au kuangalia watu live na wewe kuambikiza hisia zako zifanye kile ulichotarajia, yaani mwisho wa mchezo ni kukojoa.

Kwa kuwa tendo hilo mara nyingi hutumia mikono husababisha matumizi makubwa ya nguvu ambazo huathiri mishipa inayopeleka damu katika uume (dushe) na mishipa hiyo ikiathirika nguvu za kusimamisha zinapungua na kusababisha kushindwa kumridhisha mwanamke na kujikuta unasaidiwa kama unaye.

Hata hivyo athari nyingine ni kushindwa kuridhika na uke na hivyo kujikuta unapenda sehemu iliyobana sana kama sehemu ya haja kubwa, na kujikuta unaitwa mfiraji.

Pia hisia za kufanya tendo la ndoa hupungua sana na kusababisha kutopenda kujamiiana na baadae kushindwa kabisa tendo hilo na kufanya uitwe majina ya ajabu, kwa kifupi ni hivyo wengine wajazie.
 
piga tu puchu hakuna madhara yoyote,tumepiga nyeto tangu darasa la 4 mpka chuo na bado tunasimamia show kikamilifu
 
Kuanza ni rahisi kuacha ni ngumu pili unakuwa na aibu ujiamini nafsi inakuhukumu tatu afya inadorora.
 
Back
Top Bottom