patricl
JF-Expert Member
- Oct 2, 2015
- 508
- 297
Imani yako Ni zaidi ya mbegu za haladaliKufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Imani yako Ni zaidi ya mbegu za haladaliKufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Kesho fika kituo chochote cha ulanzi, utakuta kuna maelezo yanguKufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
HahahaKesho fika kituo chochote cha ulanzi, utakuta kuna maelezo yangu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
AiseeeeKufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Hii comment yako ni ya August 12, 2016...Kufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Jamani jamani mmmmh!2025 mna uhakika atafika?
Camilo, wewe ni nabii?Kufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Umesemaje mkuu,hongera sanaKufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Duuh2025 mna uhakika atafika?
DuùhYaani sisi Ma-Tanzania sijui tukoje, eti upuuzi wa hivi nao unapata watetezi? Hao washauri wake alipaswa kuwatumbua hapo hapo siku walipompelekea taarifa za kwamba tumeidhinisha kujenga uwanja wa kimataifa Chato! Yaani Chato ndo ije iizidi Geita kwa ajili ya uwanja wa ndege tu? Haitakaa itokee, huo uwanja utadoda mara baada ya miaka yake mitano kuisha (sijapata ushawishi kwamba atamaliza miaka 10 huyu).
Nabii CamiloKufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Jf kuna GT walio tukukaYaani sisi Ma-Tanzania sijui tukoje, eti upuuzi wa hivi nao unapata watetezi? Hao washauri wake alipaswa kuwatumbua hapo hapo siku walipompelekea taarifa za kwamba tumeidhinisha kujenga uwanja wa kimataifa Chato! Yaani Chato ndo ije iizidi Geita kwa ajili ya uwanja wa ndege tu? Haitakaa itokee, huo uwanja utadoda mara baada ya miaka yake mitano kuisha (sijapata ushawishi kwamba atamaliza miaka 10 huyu).
Mkuu u r dreams has become a reality.Kufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Hatimae march 17 2021 (au kabla) Mungu akadhihirisha ukuu wake.Binadamu hupanga yake na Mungu hupanga yake....lets wait and see
Ulisema haya 2016 Yametimia.Kufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu