Ahsante kaka ...watakaokuelewa wataelewaSawa tu mwacheni afanye atakavyo ma-Tanzania yenyewe mapumbav sasa sisi tufanye nini? Si unaona majitu yanavyotoa mapovu humu ndani kushabikia ujinga? Ina maana mwalimu hakuwa na akili wao ndo wanajiona bora kuliko wengine? Unawekezaje vitu vikubwa vikubwa hivyo utafikri utakaa kwenye kiti milele? Hata aibu usoni hawana, hivi angejificha nyuma ya Geita nani angelalamika? Hapa namaanisha kwamba huo uwanja angeuweka Geita wala watu wasingeona shida! Kuna jamaa zangu niliwaambia kwamba mtu wenu ni mbinafsi wakanibishia, sasa nafikri wanajionea wenyewe!! Alianza na barabara, akapindisha iliyokuwa inatakiwa kupitia Biharamulo akaipeleka Chato, akaja makao makuu ya mkoa akaanzisha ujenzi wa majengo ya hatari sana ili Chato yawe makao makuu ya mkoa (hongera yao waliweza kumdhibiti), akaja taa za kuongozea magari akaweka Chato na sasa tunajionea international airport, kazi tunayo!!
Hao wana wivu wa kike. Walitarajia upendeleo kama walivyozoea. Huu ni wakati wa KAZI TUKama nilivyosema sielewi mfumo wa Serikali yetu unavyofanya kazi, inawezekana kabisa ndiyo mpango wao wa kwamba kila Kiongozi anafanyiwa mambo fulani kwao kwa maana wote ni hivyo hivyo ukienda Same huko kuna lami mpaka vijijini hata hazitumiki akina Msuya walijenga, kwanza Same mbali hapa hapa Dar ukienda Mbezi Beach Kilongawima lami imejengwa mpaka mlangoni kwa Mwamunyange (Mkuu wa Majeshi) kupitia nyumba pia ya aliyekuwa Mkuu wa Usalama Apson kabla ya hapo kulikuwa hakuna lami ukienda Sala sala (Kunduchi) lami imepigwa kuzungunguka karibia Sala sala yote mpaka mlangoni mwa Mboma ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi, ukienda Ada estate Migombani kote kumezungushwa lami kwa sababu ya nyumba ya Kikwete, ukienda Mikocheni kwa Mzee Mwinyi ile br. inyaozunguka nyumba yake imewekwa lami kwa ajili yake tu, na hayo yote yanatumia kodi zetu ambapo pia ungeweza kuhoji kwa nini wasijenge lami sehemu ambazo ni muhimu zaidi?
Hivyo hoja yangu imejikita kwenye fairness kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu kwa sababu uwanja wa ndege unajengwa Chato siyo kuwa fair kwake kwa maana viongozi wote wa Tanzania hufanya hivyo, hivyo kama ulitaka kuwa fair ungehoji uhalali wa kujengwa Uwanja wa ndege Chato na siyo kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu huku wengine kama Mlm.Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mawaziri Wakuu karibia wote walifanya hivyo hivyo lkn wao kuwaacha kwenye ulinganisho na Mobutu
Wewe hebu iache geita yangu.Ila wee bibi unaboa sana. Una ushabiki uliopitiliza. Kwani huyo jpm alipata kura yako pekee? Mbona wengi walimpigia na kumpenda lakini haina maana kuwa kila afanyalo ni sahihi.
Kweli unalingamisha Daraja la Mkapa na Uwanja wa ndege wa kimataifa Geita?
Unalinganisha Mtwara Corridor na Uwanja wa kimataifa wa geita?
Unalinganisha Bagamoyo Mega port na Uwanja wa Kimataifa Geita?
Unamaanisha kweli kuwa Kisarawe imeendelea? Kwa lipi hasa?
Hahahaaa! Haya nimekuachia geita yako. Geita oyeee!Wewe hebu iache geita yangu.
waandish kama akina gondwe wanafanya sherehe kuteuliwa ukuu wa wilaya,Hata mimi nahisi huyu mwandisho sio mtanzania, maana Tz kupata kichwa kama hiki labda vizaliwe vizazi vingine visivyotokana na generation hii which is impossible!
waandish kama akina gondwe wanafanya sherehe kuteuliwa ukuu wa wilaya,Hata mimi nahisi huyu mwandisho sio mtanzania, maana Tz kupata kichwa kama hiki labda vizaliwe vizazi vingine visivyotokana na generation hii which is impossible!
Aisee, kama ndivyo uelewa wa wengi wetu uko hivi basi ni shidaaa!Kuna Kiongozi wa Tanzania ambaye hajawahi kujenga kwao ukiondoa Mkapa tena ambaye anachekwa na kulaumiwa na Watz hao hao kama wewe alipoenda kujenga Lushoto badala ya kwao Mtwara, hata hivyo Mkapa alijenga Daraja kwao lijulikanalo kama Daraja la Mkapa, alifufua Mtwara corridor ambapo lengo ni kuunganisha Bandari ya Mtwara na Ziwa Nyasa vile vile alijenga Daraja la umoja kuunganisha TZ (Mtwara) na Msumbiji kote huko ni kwao yeye Mkapa?
Mlm.Nyerere aliijenga kwao Butiama leo hii hata mtoto mdogo anajua Butiama ni nini na wapi ingawaje hakuna chochote huo isipokuwa ni kwamba ni mahali alipotoka Mlm.Nyerere hata Mkoa wa Mara haukuwepo wkt tunapata uhuru lkn Ml.Nyerere aliuanzisha kwa sababu ni kwao achilia mbali Wakuu wote wa Majeshi TZ walitokea Mkoa wa Mlm.Nyerere Mara, ingawaje hiyo ni mada nyingine, akaja Mwinyi kwetu Pwani kulikuwa hakujulikani kwanza yote tulikuwa kama sehemu ya Mkoa wa Dar kwa kuwa Mwinyi kwao asilia ni Kisarawe akaanzisha hiyo Wilaya na kuunda rasmi Mkoa wa Pwani kuutenganisha na Dar leo hii Kisarawe imeendelea ni kwa sababu ya Mwinyi tu, akaja Kikwete hakuna aliyeijua Msoga na Chalinze ukiachia njia ya kuendea Mikoani lkn Kikwete (Serikali) aliwekeza Bagamoyo na Chalinze mambo mengi yalifanyika huko kama mradi mkubwa wa maji kwenda Chalinze, hata kulikuwa na mpango wa kujenga Airport mpya na kubwa ya Kimataifa Bagamoyo achilia mbali Bandari ya Bagamoyo na mambo mengine mengi tu, sasa kwa nini kwa raisi Magufuli ije kuwa nongwa na tayari mnamlinganisha na Mobutu kama siyo chuki binafsi ni nini?
Inawezekana kabisa labda ndiyo mfumo wetu na mpango wa Serikali yetu kwamba Kiongozi Mkuu wa nchi anakotoka kunapewa upendeleo fulani, kwa maana wote ni hivyo hivyo hata Monduli inajulikana tu kwa sababu ya Sokoine, Same imejengwa na kuunganishwa na Umeme na Br. kwa sababu ya Msuya kabla ya Msuya Same ilikuwa ni kijiji tu na vumbi tupu, Manyara umekuwa tu Mkoa kwa kumegwa ktk Arusha kwa sababu ya Sumaye, yeye ndiye aliyefanikisha hilo kwa kuwa ni kwao, Katavi imekuwa tu Mkoa kwa sababu ya Pinda ambaye ni kwao, sasa kwanini iwe ishu kwa Magufuli kama kila Kiongozi kuanzia Nyerere wote walikupa kwao upendeleo maalumu? Kwa nini hamfananishi Mlm.Nyerere na Mobutu?
Imenilazimu post yangu niliyomjibu nii-edit kwa ajili ya huyo mtu manake lazima ningekula ban tu! Na kimsingi I don't care about the distance between Mwanza and Chato; the whole investment isn't viable hata kama umbali kati ya Chato na Mwanza ingekuwa 1000 Kilometers! Huwezi kujenga international airport simply because huko ndiko anatoka rais! Mtwara to Masasi is almost 200 km lakini Mkapa hakujenga airport Masasi wakati am very sure Masasi (mjini) ni kubwa na very busy kuliko Chato (mjini) kwa zaidi ya mara 3 kama sio 5 kabisa! Umeizungumzia Mtwara na Lindi; pale Lindi leo hii hata ukiweka International Airport ni understandable hata kama kwa sasa haiwezi kuwa viable investment but forecast inaoenesha within 10 years Lindi and/or Mtwara will be economically potential areas!
Hakuna msukuma mpuuzi kama huyo Barbarosa, wasukuma wanaomuunga mkono JPM wanafanya hivyo kwa hoja sio upuuzi unaofanywa na huyo jamaa hapa!Nimefurahi ulichomjibu huyu jamaa, huyu Barbarosa ana-bore lazma ni msukuma tena mtu wa Chato kwa jinsi anavyojibu! hayupo objective kabsaaaa!
uadilifu upi? unajua uadilifu ww?
Haya ni matokeo ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, nasisi tukiwalea akina Lissu tutafika huko, tuwekee na mji wa syria Libya na Iraq,
Ukisikia roho ya kutu ndio hii aliyonayo mleta mada..Pata picha kwa speed hii, try to figure in 2035 after this heavy investment starting now if at all he will stay in power for 10 years, i hear a talk about textile factories but i read of gazetted GOT tenders about construction of an international Airport less than 140 km from what is soon to be Mwanza International Airport while Mtwara and Lindi with resources valued at over $400 bln that need over $30 bln worthy of investment; lays idle without the necessary infrastructure to support those massive investment projects i.e. mega LNG plant. A rival Mozambique has already built an international airport at Nacala to make the movement of poeple easier at both the Nacala port and Ruvuma basin where massive gas at over 160 Tcf compared to ours at 57 Tcf has been discovered!
President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite - in pictures
Cities is supported by
Rockefeller Foundation
The president of what was then Zaire lavished millions on a palace complex and international airport in the remote town of Gbadolite. Guardian photographer Sean Smith heads for the jungle to document the pitiful shell that remains
Where Concorde once flew: the story of Mobutu’s ‘African Versailles’
Sean Smith in Gbadolite
Tuesday 10 February 2015 13.04 GMT Last modified on Tuesday 10 February 2015 14.04 GMT
Save for later
A mural of former President Mobutu outside the mayor’s office in Gbadolite. When Joseph Desire Mobutu took power he renamed himself Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Waza Banga (meaning ‘the all-powerful warrior who, because of endurance and an inflexible will to win, will go from conquest to conquest leaving fire in his wake’)
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
The air-traffic control tower of Gbadolite’s international airport, whose runway is long enough to accommodate Concorde. Now it welcomes only two or three tiny aircraft a week from the UN and a commercial operator
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
Inside the abandoned control tower
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
The VIP arrivals terminal: Pope John Paul II, UN secretary-general Boutros Boutros Ghali and American televangelist Pat Robertson may have all passed through here
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
Inside the main airport terminal
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
The main terminal at Gbadolite airport
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
The Water Ministry building was never finished and is now used as a school
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
Inside the school
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
The Motel Nzekele, built by Mobutu, had five stars when it opened in 1979
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
The motel’s empty swimming pool. Guests reportedly included the pope, the Belgian king and French president François Mitterrand
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
Ripped cinema seating inside the Motel Nzekele
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
An unfinished bridge in Gbadolite
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
The main gates to Mobutu’s private palace still stand. Locals charge visitors $20 to access the former president’s estate
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
The entrance gate and road to the main palace complex
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
Walking among the ruins. Mobutu’s private palace, seven miles outside town in Kawele, once brimmed with paintings, sculptures, stained glass, ersatz Louis XIV furniture and marble from Carrara
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
Francois Kosia Ngama, whose grandmother was a teacher to Mobutu’s mother, stands in the disused swimming pool
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
Mobutu’s palace. In its heyday it employed more than 700 staff - including chauffeurs, chefs and servants - as well as 300 soldiers
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
Inside the palace grounds. Slowly but surely, the palace is being reclaimed by the jungle
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
Inside Mobutu’s bedroom. The entire roof of the palace has gone, leaving only a skeleton of red steel girders
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
A fountain with statues of lions. Only two of the original four remain
Photograph: Sean Smith for the Guardian
Facebook Twitter Pinterest
President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite - in pictures
Umemuelewa lakini mleta mada au unakurupuka.
Mshaurini vizuri mkuu wa nchi.
Km Chache toka Mji wa Chato kuna kiwanja cha ndege cha Biharamulo eneo la Katoke.
Kiwanja hicho ni cha nyasi kilipaswa kikarabatiwe ili Kitumike kwa manufaa ya Watu wa Biharamulo na Chato.
Miundo mbinu inapaswa iangalie pia masuala ya kiuchumi. Chato haina hadhi ya kuwa na uwanja wa ndege wa kimataifa ni kupoteza rasilimali fedha za umma.
Baada ya Kuhamia Dodoma ambapo napo patajengwa Uwanja wa ndege wa kimataifa viwanja vya ndege vya miji midogo ya pembezoni vitakufa .
Watu watatoka Dodoma na kutumia usafiri wa magari mana patakuwa karibu kwenda Tabora ,Singida, Geita n.k.
Ndio maana huwezi leo ukajenga kiwanja cha ndege Kibaha kwani tayari uwanja wa mwalimu Nyerere unatosha.
Mleta mada anakuonyesha jinsi majumba na viwanja vya ndege alivyojijengea Mabuto Sese seko kwa kuamini kuwa atakua raisi wa maisha vimekufa baada ya kuja kiongozi Mwingine mwenye maono tofauti na yake.
Hata hivyo MUDA ndio utakao toa majibu sahihi kwenye awamu hii ya tano.