How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

Kufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Hii comment yako ni ya August 12, 2016...

Prediction yako ilikuwa ya 2023 lakini ikawahi na kuwa 2020 miaka mi3 kabla...

Ulijuaje mambo haya? Kwa sababu Mr Chato amekufa kweli na mwanamke yuko pale....!

Na huko Chato sijui ni nini kinaendelea kwa sasa. Likely kuwa unabii wa Geza Ulole unatimia mdogo mdogo...
 
Watu wanafanya Mapinduzi ili waingie Ikulu. Why has The Palace been abandoned?
In fact,hata Ikulu yetu imekuwa abandoned baada ya Nyerere kutoka.
That is what I conclude from the scraps of information I receive.
 
Ila hawa wakongongoman hawana akili kabisa. Badala wangebadili matumizi gladolite kikawa chuo kikuu kikubwa kabisa wameacha wanamkomoa marehemu au? Shenzi kabisa
 
Yaani sisi Ma-Tanzania sijui tukoje, eti upuuzi wa hivi nao unapata watetezi? Hao washauri wake alipaswa kuwatumbua hapo hapo siku walipompelekea taarifa za kwamba tumeidhinisha kujenga uwanja wa kimataifa Chato! Yaani Chato ndo ije iizidi Geita kwa ajili ya uwanja wa ndege tu? Haitakaa itokee, huo uwanja utadoda mara baada ya miaka yake mitano kuisha (sijapata ushawishi kwamba atamaliza miaka 10 huyu).
Duùh
 
Jf kuna GT walio tukuka
 
Back
Top Bottom