Una mpenzi wako lakini kutokana na mishemishe za dunia mnaonana kwa nadra,na imekua ivo kwa mda mrefu kama miaka mitatu,ikaja kutokea akakutambulisha kwa rafiki yake wa kike,na most of the time mnaspend nae,ghafla unaanza kupata filings kwake,na ukiangalia interms of caring japokua bado ni rafiki lakini anakujali kuliko galfriend wako,and at the sametime galfriend wako anaanza kuleta pozi,ukikaa sometimez unamuona your galfriend as a complete stranger,nashangaa how we came to be together,pia the friend shows interest in you.....
so wanaJF how can you handle this situation?nitashukuru sana serious contributions
Hebu fikilia kama ingekuwa ni wewe umemtambulisha mshikaji wako kwa huyo do wako, alafu jamaa akawa na mawazo kama yako, akakuchukulia du wako how would you feel..........? ( treat others the way you would like them treat you)
Tamaa mbaya bwana na mwisho wake sio mzuri.Naona uvivu kutype otherwise Ningekupa story moja ambayo ilinitokea pale rafiki yangu alipomchukua demu wangu, ilikuwa noma na mwisho wake ulikuwa mbaya sana kati yao wawili. Mpaka sasa imebaki historia katika wilaya tulipokuwa
hilo mbona sio tatizo mwana...unajua uzuri wa hawa viumbe wapo ready kukupa papuchi ata kama wanajua u dating rafiki yake...so worry not just get close zaidi na huyo dada mpaka itokee umemmega and from there utajua nani mtamu zaidi
hiyo nikutokana na jinsi ilivo inaonekana demu wake hamjali dizaini labda inaonekana hiyo mambo kama mtego au kuna kitu demu wake anakitafuta toka kwa mujamaa..
kama vipi itabidi akamchane live iliasije jutia baadae..
Una mpenzi wako lakini kutokana na mishemishe za dunia mnaonana kwa nadra,na imekua ivo kwa mda mrefu kama miaka mitatu,ikaja kutokea akakutambulisha kwa rafiki yake wa kike,na most of the time mnaspend nae,ghafla unaanza kupata filings kwake,na ukiangalia interms of caring japokua bado ni rafiki lakini anakujali kuliko galfriend wako,and at the sametime galfriend wako anaanza kuleta pozi,ukikaa sometimez unamuona your galfriend as a complete stranger,nashangaa how we came to be together,pia the friend shows interest in you.....
so wanaJF how can you handle this situation?nitashukuru sana serious contributions
Bazazi najua, nilijibu kwa hasira. Imagine tunalazimika kutowatambulisha rafiki zetu kwa waume zetu kwa kuogopa kupinduliwa. Hizi tamaa hizi mnaziendekeza sana kiasi kwamba kile mlichokitengeneza mnakibomoa.