figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,625
- 62,472
habari yenu mabibi na mabwana...kidumu chama cha makapela&maseja...asanteni sana.bila kupoteza wakati naomba kila mmoja angaalie balance yake mfukoni...amusha hisia zako...bila shaka ushajua una hamu ya kula chakula gani..basi ndugu zangu mimi nawatakia mlo mwema na kila mmoja wenu aenjoy atakavyo.mwenzenu leo nilichelewa kunywa supu so njaa haijauma.
Mungu wangu awabariki mtokako na muendako.asanteni kwa kunisoma.MIA
kile cha tembo tembo ili haya
manyama uzembe yasionekane..
sasa saa ngapi tunaenda??
ahhhh atupe hiyo tenda asitupe atajaza bana..
itabidi tuchuue kwa nguvu .. Nadhani ameona
mtiririko hapo juu kutoka Morocco mpaka Mexico...
Boss sema tu wataka nchi gani ..
maana Gaijin yuko tayari ...
Duh! sasa husemi mapema! Lakini usijali, hapaharibiki neno nikiwepo pahali. Hujajua tu hilo?
tenda itakuja tu.halafu hiyo signature yako' ya akili sana
hahahahahahah lol
haya bana unishtue basi maji yaki chemka...
sasa niandae pic nic au waonaje???
Dahhhh
sante kwa tenda mkuu..
kweli we ni boss wa kuaminika..
ila bado hujachagua wataka vya nchi gani??
au mix??
dahh asante kwa kupenda signature yangu...
kuna ukweli sana kwenye signature yako pia...
andaa kabisa....tena naona Gaijin ana msaada mkubwa sana hapa.....
ila mi napenda vya Brazil zaidi......
Just the other day nilikula mchuzi wa nyama ya ngamia
Sasa bado ya tembo....au hailiwi? ⊂((・x・😉)⊃
wanasema Tembo wana ladha za nyama zote,
unweza pata kuku,mbuzi,kondoo,ng'ombe na kadhalika,sijui for sure