Habari ndugu zangu, ni mwaka sasa toka ndugu na jamaa zetu watangulie mbele za haki baada ya matukio ambayo hayakuwa ya kiungwana yaliyotokea baada ya uchaguzi.
Poleni kwa ambao mali zenu ziliharibiwa,Mwenyezi Mungu atawafanyia wepesi mpate mara saba zaidi kama ambavyo ilikuwa kwa mtumishi wake...
Kwa mfano
Umeenda Hospital kumuona daktari, akakufanyia vipimo vyote mahususi na baada ya vipimo na majibu ya vipimo daktari anakuja na ushauri kwa kuhusu suala zima la kuzingatia matibabu yako ili uweze kupona na afya yako kurejea kama ilivyokua mwanzoni.
Unaambiwa acha pombe walau siku 365...
Mheshimiwa Rais, naomba kuandika kwa ufupi sana. Kutekwa kwa Polepole , Mdude na hata kuuwawa kwa Mzee Kibao kuliacha damu nyingi sana ikimwagika, naomba kukuliza Mheshimiwa mwenye jukumu la kwanza la kulinda uhai wa watu wako, huwa unajisikiaje kula nyama kama chakula huku ukikumbuka wetu wako...
Wiki hii imekua ngumu, uko sawa? mambo yanayoendelea Tanzania yanakufanya ujisikiaje?
Unafanya vitu gani kuhakikisha afya yako ya akili haitetereki?
Tupe suggestion ya movie mpya au series zitusaidie kusukuma weekend.
Weka picha inayoreflect mwezi April na mwaka 2026 so far na isindikize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.