How are you examplifying yourself to the younger generation?

JF ni msitu mnene unlike other social networks, huwezi kujua mtoto ni yupi na mzee ni yupi.

Hapa ndo tulipofika kuna mchanganyiko na vurugu za kila namna. Jamii husika ya mahali pamoja inamchango mkubwa kwa young generation, but with negrigence of the Jamii to vijana basi tutegemee makubwa pia.

Uzi ni mrefu sana sijasoma wote.
 

mzee mchezo..nakuvulia kofia
 
Hivi vimistari vyako vichache mkuu, ndiyo kiini hasa cha tatizo lisababishalo njaa! KILA MUTUZ NAPENDA YA MENZAKE...hapana mutu penda chake. Kutojikubali....tunapenda FAKE...FAKE...FAKE forever...ndio shida.
naamini vimekuingia hivyo vimstari lakini...ni kweli kila mtu anapenda kujifannisha na mwenzie, basi na akomae amfikie lakini sio gere tu....
 

Thats a great mother you have, and yes, you should do the same and more for your offspring. I am totally for guiding someone by telling them what and what not to do and showing them the way. But that doesn't make you their role model. A role model is something a bit bigger and a lot different.

We do need people like your mom to guide and advise us in life but I refuse to believe that we do need anyone to set an example for us to follow, since if not well handled, they could be misleading. I hope you get the difference....or rather my version of it between a guide and a role model.
 
Kuna watu wamelelewa vizur sana na wazazi/walezi wao tena kimaadili,lakini walipotoka makwao walikutana na wehu na wakawehuka mpaka walowalea wakashangaa,nna mifano ya watu ambao walilelewa visur, they were decent ila waliharibikia University.Licha ya malezi pia kujitambuq ni muhim,kukua nafas yako kwenye familoa na umuhim wako.
 
mzee mchezo..nakuvulia kofia
Kuna watu mnanishangaza sana humu....nitakupa mfano.. lara 1 anaandika post nyingi tu na zenye maono tofauti na nyingine za ideologies anazozijua mwenyewe za pesa n.k Angalia watu watakavyomponda sasa kuwa anapotosha wasichana wadogo(younger generation)...halafu mtu huyohuyo anakuja kusapoti people shouldn´t be judged coz u really dont know them...which means they should be themselves...How come you can be so critical and judgemental when other people express their opinions and at the same time you can get to be yourself and write all the non sense!!Ukimnyooshea mtu kidole,vinne vinakutazama wewe!!
 
A very nice thread gorgeous

Binafsi naamini malezi na mazingira na at times umri(mtu alichoandika 2008 sio sawa na atachoandika leo kwa wale wanaokua)ndio yanatufanya tuongee yale tunaongea

Jinsi ambavyo tunaembrace technology sio vizuri most times,change is inevitable but a course of change can be chosen
Kwenye maisha ya kawaida tunajaribu kuwaeleza wale wadogo na wale wasiofahamu vile vitu vya kufanya kuembrace technology atleast kwa njia nzuri in a way(generally)
unakuta mzazi anampa mtoto wa miaka 10 smartphone na hakuna parental guidance yoyote ile
sometimes sio kosa lake bali kwa jinsi alivyokua anaona ndo jambo sahihi

When i started using jamii forums ilikua kwa sababu ya kutaka kuona views za watu kwenye mambo mengi na kwangu haijaniathiri negatively(most times) kwani kuna watu ambao walinifanya nikaona maisha in a different path c.c MwanajamiiOne

kama mtu mzima(navyojichukulia lol) kuna wale wenzangu hawataki kukubali kuembrace utu uzima,yani anajua kabisa anachosema kina weza muathiri mtu but ili aonekane youngster atakisema tu
kuna watu wapo kiutani na kuna wengine in real life they do depend on ushauri wa watu hapa..
najihusia nafsi yangu na wengine kuwa,before we say something tuwafikirie wale wanaosoma au kuomba ushauri(most times)
maana kweli mwingine anaweza omba ushauri wa kibiashara au mahusiano na watu wakamcrush mbaya kumbe if people would see his views in a brighter way maybe wangemsaidia,haikupunguzii chcochote kuwa positive kidogo.
be kind to one another,change begins with you
tutumie social networks kujengana
:A S 465:
 
Last edited by a moderator:

Dear Michelle,
I strongly believe that everything you just said/written is true and very much sensible..you strike me as someone who is going to go far in this life (and hopefully in the after-life) but lets try to keep issues where they are:
unless I am mistaken (happy to be proven wrong by you anytime) the issue was how we, the older generation, are not playing our expected party in setting the example of moral, good conduct and acceptable behavior. The thread writer went on to point out the way we communicate here in JF, and in public generally.

Not at any point did I read the writer blaming or criticizing the younger generation albeit saying that things are getting worse as time goes and if I can trust my instincts she meant that we, the older generation should shoulder much of the blame.

Thanks
 
hii thread ingekuwa 'HOW TO GET A SUCCESSFUL BUZI' na vitu kama hivyo sasa hivi ingekuwa na pages 30 na likes nyingi sana....hilo linaonyesha jinsi tulivyo na nini tunapenda kusoma,kuona,kusikia na kujadili.
 
Ahsante tracy,hata mimi nimejifunza mengi kupitia kwenye members tofauti humu Michelle ni mmojawapo,threads zake zimenipa inspiration when i needed some and I believe she has a lot of wisdom with her!I even told her that!Kuna members tofauti nawaamini sana na nawafagilia sana kutokana na busara na hekima zao.

Nakubaliana na ww wakati mwengine mtu anakuja na thread yake kama unavyosema anahitaji msaada unakuta watu wanamdhihaki na kumhukumu bila kumpa suluhisho which i find very unfair,kama mtu kafika mpaka hatua ya kuja kuomba ushari ujue maji ya shingo yamemfika.Busara inatakiwa itumike!
 
Last edited by a moderator:
Capt Nemo
Brother, I believe you are the male gender correct me if I´m wrong!You are one of the people who understood the aim of the thread very well!Some few people might take this personally and it might be because they reflect whats written on the thread,All i all i have nothing personal against no one.We all make mistakes but they do not define us!You yourself admitted that in some cases you might have contributed to some unmoral threads.Which is good coz change starts with you.And I am proud of you.We cannot expect to change the whole world around us while the little world as JF is a sinking boat!
 
Last edited by a moderator:

Is this a subliminal shot at me?
 

Thank you Capt.

I don't see where the writer is blaming or criticizing the younger generation either. I just don't don't think the older generation is any different nor do I think anyone should look up to them. I can only advise the younger generation to seek guidance from God....when I look at the older generation as am supposed to, I see failures and am surprised people expect anything better from them....I mean look at the government,church,communities, and even ourselves....? I don't blame anyone and I won't take blame for being me.
My thinking, We can direct the younger generation to seek guidance from GOD, be the best version of themselves, learn from other peoples mistakes, Love and be of Service to others!
 

True
Lets be true to ourselves kidogo hata kama ni behind the keyboards,embrace the changes positively.
 

There is nothing difficult to understand here Gorgeous, I have read this thread very well, we have different opinions, and no one can ever control that. Its not personal, and again,not so sure which threads are moral and which ones are not, there is always something new to learn or new knowledge to gain from the different threads we read here. we see things differently.
 
Usijali rafiki...we all have different opinions...Have a wonderful day ahead of you 🙂
 
Watu wengi kipindi hiki hawataki kujikubali kuwa wao ni wanamna gani hasa, hilo la kutokujitambua ndio tatizo kubwa sana katika kizazi chetu.
tunapenda maisha ya kuigiza zaidi kuliko vinginevyo.

unaweza kuelezea nini maana ya kujitambua na ueleze ni vigezo gani unavitumia kujua kuwa huyu anajitambua au hajitambui
 

Thanks, I understand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…