Houth wasema wana aina mpya za silaha ambazo wanakusudia kuanza kuzitumia kwa Israel.Na wameweza kuzuia mashambulizi ya jana yaliyofanywa dhidi yao

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,488
Reaction score
16,646
Msemaji wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mashambulizi ya jana waliyofanya na kuwatia hasara mayahudi ni madogo kuliko yale wanayoweza kuyafanya kwa kutumia silaha mpya ambazo wanatengeneza wenyewe.

Msemaji huyo amesema katika mashumbulizi mapya ya Israel wao wamefanikiwa kuzuia sehemu ya makombora yaliyoelekezwa kwenye maeneo ya raia.

Akaongeza kwa kusema hiyo ikulu iiyopigwa wala hawaitumii kwa muda mrefu sasa.Wamepoteza nguvu zo bure.

Pamoja na hivyo wamesema wanafanya uchunguzi kuona iwapo Marekani imetoa ushirikiano kwa Israel ili wakigundua hivyo wataanza tena kulenga maslahi ya Marekani yaliyo karibu ya nchi yao.
 
Msemaji huyo amesema katika mashumbuli mapya ya Israel wamefanikiwa kuzuia sehemu ya makombora yaliyoelekezwa kwenye maeneo ya raia.

Pamoja na hivyo wamesema wanafanya uchunguzi kuona iwapo Marekani imetoa ushirikiano kwa Israel ili wakigundua hivyo wataanza tena kulenga maslahi ya Marekani yaliyo karibu ya nchi yao.
🤣....imepigwa mpaka ikulu alafu unasema umezuia....
 
Msemaji wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mashambulizi ya jana waliyofanya na kuwatia hasara mayahudi ni madogo kuliko yale wanayoweza kuyafanya kwa kutumia silaha mpya ambazo wanatengeneza wenyewe.

Msemaji huyo amesema katika mashumbulizi mapya ya Israel wao wamefanikiwa kuzuia sehemu ya makombora yaliyoelekezwa kwenye maeneo ya raia.

Akaongeza kwa kusema hiyo ikulu iiyopigwa wala hawaitumii kwa muda mrefu sasa.Wamepoteza nguvu zo bure.

Pamoja na hivyo wamesema wanafanya uchunguzi kuona iwapo Marekani imetoa ushirikiano kwa Israel ili wakigundua hivyo wataanza tena kulenga maslahi ya Marekani yaliyo karibu ya nchi yao.
Wakirusha Silaha huko Israel unachekelea ila Israel wakijibu mashambulizi unaanzisha mada kwa kuwaita makatili hawana ruhuma..unakuaje mtu mwenye upande?
 
Wakirusha Silaha huko Israel unachekelea ila Israel wakijibu mashambulizi unaanzisha mada kwa kuwaita makatili hawana ruhuma..unakuaje mtu mwenye upande
Ukiwa mwenye akili timamu na ubinadamu basi hata uwe dini gani lazima uwe upande wa Palestina
Kwa sababu kama unaangalia nani aliyempiga mwenzake mwanzo kiuchokozi basi hutaanzia kwa Houth lazima utarudi mpaka 1947
 
Ikulu wamesema wala hawaitumii kwa muda mrefu sasa.Ikulu yao ipo maeneo yasiyojulikana.
Wewe ndo unasema kwahiyo ikulu ya hauthi ipo sehemu isyojulikana lakini hadi wewe huku ukonga unajua hiyo siri🤣
 
Hata mimi siijui.Wanaijua wenyewe ilipo na Netanyahu naye hajui kitu asingekuwa anatumia nguvu kubwa kupiga malengo hewa.
Kumbuka Yemen ina milima iliyokaa kimkakati na Israel haitaweza kufika kutoka angani.Kwa miguu hawana hiyo nguvu.
 
Back
Top Bottom