Hehehehe nimeachana nayo sasa kama hawa wamependana si awaache tu kama vp awaachie hata nyumba yeye atafute ustaraabu mwingine atakuwa anaumiza roho hivi hivi.
hehehehe nimeachana nayo sasa kama hawa wamependana si awaache tu kama vp awaachie hata nyumba yeye atafute ustaraabu mwingine atakuwa anaumiza roho hivi hivi.
Huyu jamaa ni MAN ila inaelekea ame-paste hii bila kutujulisha ameitoa wapi. Anayeomba ushauri hapo amejitambulisha kama Mama Kelvin wa Tabata ambaye naamini sio huyo Pdidy. Chini yake kuna ushauri unatolewa ambao pia hajaeleza umetolewa na nani. Hebu ondoa huo utata kwanza Pdidy.
Ahsante FL1 kwa unabii wako. Then, kama ni mambo ya kukopi na kupesti, angepaswa kutuambia hivyo mapema ili tujue tuchangieje. Otherwise yatakuwa yaleyale ya Gudboy. Watu wanatunza kumbukumbu humu jamvini wacha mchezo. Haya tuendelee na mada.