Habari zenu wana MMU,
Ninaomba mnishauri juu ya hili.
Nina mtoto wa dadayangu (mvulana). Kukweli nampenda sana kama mwanangu, kwanza kalizaliwa mimi nikiwa chekechea, nilimlea and honestly I love him very much. Alibahatika kupata kazi serikalini mwaka juzi, na baada ya miezi 6 alintambulisha mpenzi wake. Kiukweli sikufurahishwa na huyo mchumba kwani kwanza alimzidi 2 years, halafu mdada ameanza kazi 2004, yani anaujua mji ile mbaya. Isitoshe hata marafiki zake pia watata, ni wale masista duu wa bongo movie wenye skendo daily.
Baada ya kutambulishwa sikutoa comment yeyote ila after a week nkamtafta dogo nikamwambia awe makini sana mana wasichana wengi hapa town huwa sio wakweli, so amchunguze uyo binti kabla hajachukua uamuzi wowote ikiwa ni pamoja na kucheki afya zao. Dogo kiaina hakupenda ushauri wangu, ila kwa kila ndugu aliyemtambulisha uyo dada aliambiwa the same thing. Ni miaka 2 imepita sasa, dogo katuambia kuwa kaachana nae na kwamba yule dada hajatulia na hamfai.
Sasa, mimi nina a very beautiful, honest, smart, hardworking,God fearing and humble housegirl na ninatamani huyu my son amuoe. Je, nitumie njia gani ili hawa watu wapendane na hata waoane jamani/ Kiukweli the girl is good jamani, nimeishi nae for 2 years na kweli kama mzazi natamani iwe hivi ( NACHUKULIA ULE MSEMO USEMAO KIZURI KULA NA NDUGUYO). Tatizo moja tu, ameishia darasa la saba sasa sijui kama dogo atamkataa.
Nipeni mawazo wandugu.
Simple. Mtafute dogo, piga nae stori za apa na pale, then chomekea stori kumuhusu huyo hg.. mfagilie kwake ile mbaya. Ikiwezekana chomekea na stor za uongo kuwa alivyomwaminifu anawatoleaga nje wanaume kibao wanaokuja na magari. Mdanganye kuwa hata juzi tu kuna mshefa alikuja akataka kwenda kujitambulisha kwao aoe, lakini binti akasema hataki kwa sababu anataka aolewe na mtu wanaeendana, mpole na atakayemwendeleza kimasomo na kimaisha. Mwambie kuwa ulishawahi kuona wanawake, wasomi na wasio wasomi lakini hujawahi kuona binti kama huyu... Then, muachie hapo, anzisha stori zingine. Chomekea vistori vya jinsi wanawake wa siku hizi wanavyoweza kuharibu maisha ya mtu baada ya kuolewa. Then potezea kama vile haikuwa na muhimu sana... Nenda kwa binti, mdanganye kuwa mwanao anampenda sana lakini anaogopa kumwambia kwa sababu anamuona siriaz... Then fanya kila linalowezekana wakutanishe mara kwa mara kama mara 5 hivi... Then siku moja Nenda nae kwa dogo (kama anakaa peke yake) alafu muache humo kwa kudanganya kuwa utamfuata baadae. Baadae mpigie simu, mwambie kuwa hutaenda tena... aangalie kama ana mda marudishe om. Kama hana bas amtafutie pa kulala aje kesho yake...
(Natamani ningepewa mi hio kazi ya kuwasakizia watu)...
Hahahhaa, una balaa wewe. Na mie nna mlinzi mzuri kweli ngoja nimlengeshee kwa mdada ili asiondoke.
isshhh! Uko wapi wewe?
Ukipata dada mzuri, mlengeshe kwa mlinzi ama shamba boy, huwa hawaondoki asilani.
Unaweza wapa kianzio cha maisha tu.
hahaha, chezeiya subbotage. Nawajengea kibanda shamba wananitumikia for life.
Ila mbaya sana setting up people, mmpphhwwee!
one thing najua nitafanya, watoto wao watapata digrii na watakuwa wajukuu wangu. Aisee, nna wanangu i am very proud of. Mama yao alikuwa maid kwetu, akasomeshwa nursing akaolewa. Wanae wawili wana digrii, na bhange zangu nimewainspire. Nikienda wanakofanyia kazi nadeka na mie, eboo! We are more than family.umeona eeh, wanakuwa watumishi milele
siku ukipita mitumbani, unawachukulia watoto wao mitumba miingi.