Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,336
- 23,956
Hawakupatikana isitoshe hana hata wiki tangu nmpate na nlwatumia 50000 kabla hajakuja dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa tapeli!
Hawakupatikana isitoshe hana hata wiki tangu nmpate na nlwatumia 50000 kabla hajakuja dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Una wajua kweli hawa dada wa nyakati au umefikiria gafla tuu.. Fikiria tena upya uje uni qoute! Unaweza mjali kuliko hata mtoto wako lakini akafanya mambo ambayo hata shetani hafanyi.1. Kuna mabaya uliyomtendea ameamua kuondoka.
2. Amepata maisha mapya ameshindwa kukuaga.
Kama unapata hiyo 70k kwa dk kidogo, kwanini kwa mwenzio iwe mwezi mzima..... nywanoko.Tangu nimpate nimeishi nae 7days tu na yeye ni Wa pili yupo Wa kiume kazi c nyingi sana Bali kaamua kufanya uhuni tu mshahara nampa 70000 elfu hizo alizotoroka nazo nazipata Kwa dk kidogo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
True rafiki yangu aligharimia maswala yote ya kipaimara plus mavazi na sherehe. Binti wa kazi akasepa siku chache baada ya sherehe. Rafiki yangu alitaka kuzimia.Una wajua kweli hawa dada wa nyakati au umefikiria gafla tuu.. Fikiria tena upya uje uni qoute! Unaweza mjali kuliko hata mtoto wako lakini akafanya mambo ambayo hata shetani hafanyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Human trafficking, nywanoko.Ni heri uwagize kutoka kampuni zinazojihusisha na kutoa wadada wa ndani ndiyo kuna unafauu ingawa huwa wanataka hela ndefu 80elfu ila ni uhakika akitoroka wanakutafutia mwingine wa kureplace haraka.
aisee kweli umevurugwa, pole sanaNimetorokwa na housegirl Ubungo Leo. Jana usiku kanigongea akaniambia kafiwa na mama yake mzazí huko mashewa Tanga nikampa 50,000 kama nauli. Baada ya yeye kutoka asubuhi nikabadili mawazo ili nimsindikize.
Nikampigia Simu anisubiri twende wote hapokei simu. Nilipowajaribu ndugu zake tena kwakuwa hawakupatikana usiku nikawapata na kuwapa pole lakini walishangaa kwakuwa aliyekufa ni jirani tu si mzazi.
Hv sasa anasema kwa SMS yupo Tandika kwa rafiki yake eti atakwenda kesho. Wadau ndo nishalizwa au mauza uza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ametekwa na makomandoo was Yanga.Hata yule nani nimemsahau jina alipaswa kuja Simba akatekwa.Usilie.Nimetorokwa na housegirl Ubungo Leo. Jana usiku kanigongea akaniambia kafiwa na mama yake mzazí huko mashewa Tanga nikampa 50,000 kama nauli. Baada ya yeye kutoka asubuhi nikabadili mawazo ili nimsindikize.
Nikampigia Simu anisubiri twende wote hapokei simu. Nilipowajaribu ndugu zake tena kwakuwa hawakupatikana usiku nikawapata na kuwapa pole lakini walishangaa kwakuwa aliyekufa ni jirani tu si mzazi.
Hv sasa anasema kwa SMS yupo Tandika kwa rafiki yake eti atakwenda kesho. Wadau ndo nishalizwa au mauza uza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ame abscond1. Kuna mabaya uliyomtendea ameamua kuondoka.
2. Amepata maisha mapya ameshindwa kukuaga.
Dunia imeisha kwa kweli. Ugomvi na house girl wako unaomba msaada. Sasa wewe unaweza kuamua nini mwenyeweNimetorokwa na housegirl Ubungo Leo. Jana usiku kanigongea akaniambia kafiwa na mama yake mzazí huko mashewa Tanga nikampa 50,000 kama nauli. Baada ya yeye kutoka asubuhi nikabadili mawazo ili nimsindikize.
Nikampigia Simu anisubiri twende wote hapokei simu. Nilipowajaribu ndugu zake tena kwakuwa hawakupatikana usiku nikawapata na kuwapa pole lakini walishangaa kwakuwa aliyekufa ni jirani tu si mzazi.
Hv sasa anasema kwa SMS yupo Tandika kwa rafiki yake eti atakwenda kesho. Wadau ndo nishalizwa au mauza uza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu.Nimetorokwa na housegirl Ubungo Leo. Jana usiku kanigongea akaniambia kafiwa na mama yake mzazí huko mashewa Tanga nikampa 50,000 kama nauli. Baada ya yeye kutoka asubuhi nikabadili mawazo ili nimsindikize.