mmmhhh unajua kipinde kile niko mdogo..
kitambi kilikuwa utajiri
nini kimebadilia sasa???
Kwani unampa kazi gani? Kama ni zile kazi za nguvu....kubeba vitu vizito, kusukuma mkwama, kubeba zege, six packs atakuwa nazo automatically. Hakikisha na mzee naye anamatch nazo maana ukirogwa uonje, hutakaa kuacha. Atakuzungusha kuliko Ronaldhino akiwa uwanjani na uta data. Hawa wajamaa wengine hawajajaaliwa kuendesha magari lakini yale mambo mengine huwa hawapangi foleni kwa maprofessor wetu kutoka Sumbawanga. They are fit trust me.Yaani mie hata mpango nae sina mume wangu mbona yuko poa sana na tunapendana mno siwezi kumtenda kwa ajili ya houseboy
Kwani unampa kazi gani? Kama ni zile kazi za nguvu....kubeba vitu vizito, kusukuma mkwama, kubeba zege, six packs atakuwa nazo automatically. Hakikisha na mzee naye anamatch nazo maana ukirogwa uonje, hutakaa kuacha. Atakuzungusha kuliko Ronaldhino akiwa uwanjani na uta data. Hawa wajamaa wengine hawajajaaliwa kuendesha magari lakini yale mambo mengine huwa hawapangi foleni kwa maprofessor wetu kutoka Sumbawanga. They are fit trust me.
Ukweli ni kwamba kwa namna moja au nyingine unahusika (labda alioverhead mazungumzo yako au tabia ndizo sizo kama mavazi mbele yake au kauli) kwa asilimia nyingi tu kwa huyo house boy wako kukutaka, ni vigumu sana kwa houseboy kuanza tu lazima kuna signs. Pili hata wewe mwenyewe una dalili zote za kutaka houseboy wako akushughurikie, moja kwa kutomkatalia kauli yake outlight na kwa onyo kali sana. Pili ni kutomwambia husband labda kwa sababu unajifahamu mwenyewe tabia zako na huenda ukimweleza lazima itakula kwako. I am just trying to think aloud umefikaje hapo.
Labda ukiweza nitoa dukuduku kwa matazamo wangu nitaweza kukusaidia kimawazo vinginevyo napata shida sana na jinsi ulivyo lichukulia swala zima.
i
Wewe sitakujibu nanyamaza kimya maana naona umekwenda kusiko. Usiku mwema
Desidii wewe ni attention seeker. Hii habari umetunga ukakimbilia kupost baada ya kuona mwenzio katoa ya kumtamani baba mkwe.
Haya umeshajulika kuwa na wewe umo.
Desidii wewe ni attention seeker. Hii habari umetunga ukakimbilia kupost baada ya kuona mwenzio katoa ya kumtamani baba mkwe.
Haya umeshajuliknaa kuwa na wewe umo.
Ehhh??? Inahuuuu???Jisome kwanza wewe wa lini na mimi wa lini sawa halafu uje na majibu??? Kujulikana JF unajua jina langu wewe ebu kwenda kule!! Kafie mbele
Kama una usingizi lala acha kupost ujinga na upumbavu wako!!!! Kujulikana?? What does it mean for me????
Mie sijampa bwana wewe vipi nakwambia huelewi na next wiki ya wiki ijayo anatimkia kwa mbali mbona unanichakachua mshikaji????
Kama wewe ni wa zamani unajua fika hapa we dare to talk openly, we call a spade a spade not a big spoon, nyani akakomwa giladi mchana kweupe.
ACHA KUTAFUTA ATTENTION KWENYE MITANDAO. KISTORY CHAKO ULIVYOTONGOZWA NA HOUSE BOY NI CHA KUTUNGA.
Hata mimi imenichefua, yaani kama ni mimi akija kuniambia na imepita siku basi kwanza ni kichapo halafu ndo mambo mengine yafuate. Yaani anatoa muda wa kufikiria ombi ana entertain?Haya mama natulia kidogo lakini lazima tusema bana... hii haijakaaa sawa hata kidogo!!