mhhh! this is rubish, wee mwanamke unakuja kuomba ushauri hapa jamvini? yaani humuamini mumeo mnayelala kitanda ki1 na kushea mambo yote, unakuja kutusumbua hapa!? labda umekosana na mume wako ndo tungekusaidia lakini unatongozwa na houseboy unakuja kutuomba ushauri! kweli wanawake tuliambiwa tuwapende kwa akili!!!
wakati mwingine lazima tuwe wakali sio kila kitu tuu tuwarembe watu kama hawa, mama Desidii unekosea sana... kumficha mume wako mpaka sasa hivi.. mh na sasa baada ya houseboy kukuambia hivyo ulijibu nn?.... kweli kichekesho
My take:
Umepoteza thamani mbele ya Mfanyakazi wako! anakuwa huru mpaka kuomba mzini uuuuwiiiiiii!!!!?
Ushauri:
Haraka leo jioni mwambie Mume wako, na umshari mume wako mumfukuze haraka sana, hafai, hafai, ndiooo hafai kabisa, na iwe fundisho kwako jenga heshima kwa wafanyakazi wako, hapo umeshapoteza heshima yakoooooo!!
Inanitia hasira hii!!!

we tulia kidogo...
kelele zote hizo halaf pengine anatumia kompyuta ya jirani tu. heheheeh behind every keyboard there is a mystery hiding by klorokwini 2011we tulia kidogo...
Watu siku hizi weshakufa wadudu tu. Anaweza ikawa hajampa nafasi wala nini na jamaa akamwambia ya kumwambia.
Kwani si kila siku tunayaona makazini na majiani?
Mwambie husband wako amtimue habari ishe.
sayu desi..
Dena alienda imboru atarudi kesho lol
mmmmhhh nipe story
house boy ni wale vijana watanashati wenye nywele naisori wa kiiraq
hahahah lol
Hizi hasira zote ni za nini??? Mbona kauliza tu kupata ushauri? Umepewa ushauri ukamtimue houseboy wako dada pole kwa yote
sayu Desi..
Dena alienda imboru atarudi kesho lol
mmmmhhh nipe story
house boy ni wale vijana watanashati wenye nywele naisori wa kiiraq
hahahah lol
kelele zote hizo halaf pengine anatumia kompyuta ya jirani tu. heheheeh behind every keyboard there is a mystery hiding by klorokwini 2011
Unajua Dena, challenges and harsh critiqes are there to harden us!! dont worry anakomaa haivyo!!
Haya mama natulia kidogo lakini lazima tusema bana... hii haijakaaa sawa hata kidogo!!
kelele zote hizo halaf pengine anatumia kompyuta ya jirani tu. heheheeh behind every keyboard there is a mystery hiding by klorokwini 2011
mh,huwa wanavutia sana wairaqw na nywele zao na wanajipenda.,
Nipo tayari mjini lakini mtandao unasumbua kidogo will be online kesho.
Huyu Desi katoka wapi tena wajameni?? 2007 halafu kakaa kimya mpaka leo.
mmmhh asante
na karibu tuko wengi kipande hii
hahahahah lol
nilitaka kukugongea senks lakini ni via mobile lol
Kuna ukweli ndani yake inawezekana kabisa hata hajampa nafasi lakini kamwambia. Ok cha msingi amtimulie mbali huko
Desidii
Mkubalie tu m-do, who knows, anaweza kumzidi hata father-house katika majambozi!